Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa mi naona toeni WASUKUMA wote serkalini! Maana hawatakiwi!Anatumiwa na akina polepole, kalemani, dotto, mbunge msukuma.. ..baada ya tukio msukuma akajifanya kuongea na waandishi, kumbe wanajua walichopanga
Chuki Ni mbaya Sana mkuu jitahidi usiipe nafasi kwa kiasi hikiBado Dotto, wizara ya viwanda na biashara imedorora sana, hajafanikiwa kuleta changamoto yoyote, amepwaya,hawa walikuwa wanashindana kujenga magorofa pale chato
Inafikirisha sana!Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale chato ndio kwao na nduguye, Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo.
Je huyu ni masalia ya watu wa mwendazake wanaomdharau Rais Samia? Nashauri afutwe kazi haraka
Waliambiwa lakini hawakusikia, haiwezekani unajifanyia upendeleo wa wazi kabisa nyumbani kwako! Hata Janet naye amepatosa, yupo zake Masaki anakula Upepo wa Bahari ya Hindi, Sijui yule Bi Mkubwa kabaki na nani kule..Imekufa kifo cha mende
Huyu Ni mhaya , Bukililo Ni neno la kihayaMbona umecharuka kama nyuki?
Au kwakuwa kaguswa mwana chato mwenzako?
Kweli kabisa kikundi kidogo cha mwendazake ni lazima kisambaratishwe ili kuondoa taswira mbaya kwa Raisi wetu SSHAnatumiwa na akina polepole, kalemani, dotto, mbunge msukuma.. ..baada ya tukio msukuma akajifanya kuongea na waandishi, kumbe wanajua walichopanga
Acha kumpangia mama pa kukaa! Kwa hiyo unamaanisha dar ndo kuna maisha? Kazi kujaa mijasho na kusimama kwenye madaradara masaa mengi!Waliambiwa lakini hawakusikia, haiwezekani unajifanyia upendeleo wa wazi kabisa nyumbani kwako! Hata Janet naye amepatosa, yupo zake Masaki anakula Upepo wa Bahari ya Hindi, Sijui yule Bi Mkubwa kabaki na nani kule..
Watu wa chato walioko serikalini ndio wanaopanga hujuma wakishirikiana na wanasiasa kama PolepoleInafikirisha sana!
Tangu juzi nimekuwa ni nawaza how comes wameenda kuwavunjia machinga wakati Mhe. Rais alitoa maelekezo live mbele ya vyombo vya Habari kuwa zoezi la kuwahamisha lifanyike bila fujo na uporaji wala uonevu!
Tanzania nzima hili zoezi limeanza kwa vikao kati ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi na Wamachinga. How comes Wilaya ya ILALA vingunguti umefanyika uvunjaji?
Sasa nimeelewa kumbe ni mtu wa Chato?
Ni hujuma na uchonganishi ndo kilichokusudiwa!
Ni matumizi ya hovyo ya mali za ummaWaliambiwa lakini hawakusikia, haiwezekani unajifanyia upendeleo wa wazi kabisa nyumbani kwako! Hata Janet naye amepatosa, yupo zake Masaki anakula Upepo wa Bahari ya Hindi, Sijui yule Bi Mkubwa kabaki na nani kule..
Oh, huwa ukifika Dar unasimama kwenye "madaradara"? Pole sana, soon Mwendokasi itafika huko ambapo huwa unafikiaAcha kumpangia mama pa kukaa! Kwa hiyo unamaanisha dar ndo kuna maisha? Kazi kujaa mijasho na kusimama kwenye madaradara masaa mengi!
Wewe huelewi mimi nakaa Dar kwa hiyo unidanganye chechote hapa dar kama huna biashara au kazi ya maana hakuna maisha utaishia kufanya ujinga na kujifanya mjuaji mwisho wa siku mtu wa mkoani anakuacha mbali!Oh, huwa ukifika Dar unasimama kwenye "madaradara"? Pole sana, soon Mwendokasi itafika huko ambapo huwa unafikia
Morogoro, Mbunge alokodi kikundi kikaenda kupiga chingaz, akaleta na vyombo vya habari wakati wanapigwa at the same time DC, Mkurugenzi hawajui. Then taarifa ile akaiona Mama. Ila Mkuu wa Wilaya wa Morogoro hakuwa na tatizo ila Mkurugenzi yule mama alikuwa ni kimeo sana, full kujiona utadhani ni mtoto wa Dkt Magufuli, yaani dharau kama alivyokuwa Kalemani, yaani wasiokuwa Dkt Magufuli kwake walikuwa vinyesi, so kuondolewa huyo was no a problem ila DC was not fair. So issue ya Ludigija ni the same, you never know, akina Kunenge na kundi lake etc. Kwa hiyo siyo kikundi bali ni watu wanaotafuta sympathy ya Mama wanafanya vitu vya kupiga watu ili Mama atumbue. Nadhani huo mchezo atakuwa keshaustukia.Nimelifikiria sana jambo hili ni kwanini zoezi lile limefanyika halafu mkuu wa wilaya anadai hajui nikahisi kuna watu ndani ya serikali wanashirikiana na kikundi kilichokasirishwa na urais kumuangukia Mh.Samia(kwa mujibu wa katiba) hiki kikundi inasemekana kilifanya jitihada kubwa ili kuzuia katiba kufuatwa lakini kikaangukia pua, Rais awe macho na kikundi hicho (Polepole,Bashiru,Gwajima and Co.)
Nb: Naunga mkono maagizo ya serikali kuwapanga machinga lakini Rais ameelekeza namna anavyotaka maagizo yake yatekelezwe hivyo wale viongozi wachache wenye malengo yao mengine ama wajiweke pembeni ama wasubiri kushughulikiwa.
Hao unaosema wanatafuta sympathy ya Mama na wengine wanataka kumuaribia tu kwa lengo mahususi la kutaka kuweka mtu wao kwenye urais(kumbuka hao watu hawamkubali kabisa Rais Samia) ndio kikundi chenyewe.Morogoro, Mbunge alokodi kikundi kikaenda kupiga chingaz, akaleta na vyombo vya habari wakati wanapigwa at the same time DC, Mkurugenzi hawajui. Then taarifa ile akaiona Mama. Ila Mkuu wa Wilaya wa Morogoro hakuwa na tatizo ila Mkurugenzi yule mama alikuwa ni kimeo sana, full kujiona utadhani ni mtoto wa Dkt Magufuli, yaani dharau kama alivyokuwa Kalemani, yaani wasiokuwa Dkt Magufuli kwake walikuwa vinyesi, so kuondolewa huyo was no a problem ila DC was not fair. So issue ya Ludigija ni the same, you never know, akina Kunenge na kundi lake etc. Kwa hiyo siyo kikundi bali ni watu wanaotafuta sympathy ya Mama wanafanya vitu vya kupiga watu ili Mama atumbue. Nadhani huo mchezo atakuwa keshaustukia.
MajunguLudigija ni mzaliwa wa Chato, pale Chato ndio kwao na nduguye Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo.
Je, huyu ni masalia ya watu wa mwendazake wanaomdharau Rais Samia? Nashauri afutwe kazi haraka
Ni kundi gani linalomuunga mkono mama?mbona anahangaika na chanjo 1m.tu haziishi wakati wana CCM ni 8m? Si ni sawa tu na hao Sukuma gang mnaowasema?Hao unaosema wanatafuta sympathy ya Mama na wengine wanataka kumuaribia tu kwa lengo mahususi la kutaka kuweka mtu wao kwenye urais(kumbuka hao watu hawamkubali kabisa Rais Samia) ndio kikundi chenyewe.
Maslahi ya Chato yakuguswa mnakua wakali sana legacy ya Mwendawazimu.Mkuu naona umeamua kuja kimajungu kupitia uzi huu. Unajaribu kuihusianisha Chato na ufanisi wa utendaji wa Lubigija ili umpakazie kwa Mama Samia.
Huu uzi ni so cheap kutoka kwako kwani lengo lako la kishamba limeshastukiwa na kila anayeusoma huu uzi. Badilika kiakili na ukue uondokane na akili hizi za kichonganishi.
Kinyume chake ndio ukweli wenyewe. Jamaa zangu wa kanda ya ziwa wanaumia sana Mama kumrithi JPM.Maslahi ya Chato yakuguswa mnakua wakali sana legacy ya Mwendawazimu.