Unaonekana una tatitizo la uelewa wa chini kabisa.baadaye utakuja kuelewa tuuuLudigija ni mzaliwa wa Chato, pale chato ndio kwao na nduguye, Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo.
Je huyu ni masalia ya watu wa mwendazake wanaomdharau Rais Samia? Nashauri afutwe kazi haraka
Kwahiyo umeona hapa jf ndiyo ubao wa matangazo?Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale chato ndio kwao na nduguye, Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo.
Je huyu ni masalia ya watu wa mwendazake wanaomdharau Rais Samia? Nashauri afutwe kazi haraka
Mbona umecharuka kama nyuki?Mkuu naona umeamua kuja kimajungu kupitia uzi huu. Unajaribu kuihusianisha Chato na ufanisi wa utendaji wa Lubigija ili umpakazie kwa Mama Samia.
Huu uzi ni so cheap kutoka kwako kwani lengo lako la kishamba limeshastukiwa na kila anayeusoma huu uzi. Badilika kiakili na ukue uondokane na akili hizi za kichonganishi.
Siku hizi hatuisikii kabisa Chato..Watu wa Chato waliokosa cheo enzi za mwendazake nawashangaa sana
Machinga acha washughulikiwe mpaka wapate akiliLudigija ni mzaliwa wa Chato, pale chato ndio kwao na nduguye, Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo.
Je huyu ni masalia ya watu wa mwendazake wanaomdharau Rais Samia? Nashauri afutwe kazi haraka
Imekufa kifo cha mendeSiku hizi hatuisikii kabisa Chato..
Basi hata mkuu wa mkoa wa pwani kunenge ni wa huko naye mtoeni maana hawatakiwi!Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale chato ndio kwao na nduguye, Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo.
Je huyu ni masalia ya watu wa mwendazake wanaomdharau Rais Samia? Nashauri afutwe kazi haraka
Sasa kama inabidi wahame unataka mabanda yabaki kwa kazi gani?Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale chato ndio kwao na nduguye, Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo.
Je huyu ni masalia ya watu wa mwendazake wanaomdharau Rais Samia? Nashauri afutwe kazi haraka
Majungu tu.Ludigija ni mzaliwa wa Chato, pale chato ndio kwao na nduguye, Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.
Rais na Waziri Mkuu wametoa agizo machinga wasibomolewe bila utaratibu, Mkuu huyu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ameendesha bomoa bomoa hiyo.
Je huyu ni masalia ya watu wa mwendazake wanaomdharau Rais Samia? Nashauri afutwe kazi haraka
wewe utakuwa ludigija nwenyewe au shemeji yake majona yanafanana[emoji1787][emoji1787]Mkuu naona umeamua kuja kimajungu kupitia uzi huu. Unajaribu kuihusianisha Chato na ufanisi wa utendaji wa Lubigija ili umpakazie kwa Mama Samia.
Huu uzi ni so cheap kutoka kwako kwani lengo lako la kishamba limeshastukiwa na kila anayeusoma huu uzi. Badilika kiakili na ukue uondokane na akili hizi za kichonganishi.
Na kaka yao Kalemani amekwenda na maji.Watu wa Chato waliokosa cheo enzi za mwendazake nawashangaa sana
Kumbe anatokea chato basi anatumiwa kisiasaLudigija ni mzaliwa wa Chato, pale chato ndio kwao na nduguye, Leah Ludigija ni maarufu kwa biashara ya magodoro.