Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ludigija kwanini uliendesha bomoabomoa Vingunguti akikiuka agizo la Rais?

Ni kundi gani linalomuunga mkono mama?mbona anahangaika na chanjo 1m.tu haziishi wakati wana CCM ni 8m? Si ni sawa tu na hao Sukuma gang mnaowasema?
Imeshasemwa mara nyingi chanzo ni hiyari kinachofanyika ni watu kupewa elimu juu ya faida na hasara iwapo utachanjwa au hutochanjwa lakini uamuzi utabaki kuwa wako mwenyewe, unataka afanye nini zaidi.
Kaeni mkijua huyu Mama hatotoka hadi 2030 labda itokee kudra ya mwenyezi Mungu kama hampendi kunyweni sumu mumfuate mliyempenda.
 
Kinyume chake ndio ukweli wenyewe. Jamaa zangu wa kanda ya ziwa wanaumia sana Mama kumrithi JPM.
Kwa kweli wanajitutumua kuonyesha kuwa mama yenu si lolote na hafai.
Samia toka awe Rais anachosema hakitekelezwi na legacy ya Mwendawazimu wakiongozwa na Mpango, Majaliwa, Kabudi na Mwigulu wanafanya tofauti kulinda mfume dume.
Kwa kifupi Nchi haina Rais mpaka pale Samia atapovunja baraza la mawaziri.
 
Wewe utaishi mileleo
Kama unamuunga mkono kadungwe tu hiyo JJ,acha povu.
Vyinginevyo hauko na mama.
 
Mama akirudi ataanza na watu dizaini ya Hawa,hawajaweka utaratibu ila wanakimbilia kibomoa.
 
Unamtukana JPM kwa sababu gani....?...nyinyi ndio wale CCM wezi ambao saa hii mmepata kiongozi ambaye anawachekea
 
Aliyeendesha bomoabomoa ni mkurugenzi acha kujitoa ufahamu na chuki zako dhidi ya watu wa Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…