Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Tsea ataka itungwe sheria kuwafunga jela wasiolima Kahawa wilayani humo

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Katika kikao cha wadau wa zao la kahawa mkoani Ruvuma ambao umefanyika Leo mjini Songea, Mkuu wa Wilaya ya Ludewa amependekeza itungwe sheria Kali kwa wasiotaka kulima zao hilo kwa hiari, wakamatwe na kufikishwa mahakamani na kufungwa kwa kosa la kukaidi kulima zao la kahawa.

Amesema, "Watanzania wanatakiwa kupelekwa kwa sheria hata kwa mambo ambayo yana faida binafsi kwao, hakuna sababu ya kuwabembeleza wasiojitambua, alimalizia mkuu huyo wa Wilaya.
 
Wanapenda kulazimisha watu walime mazao ambayo watayatoza kodi. Serikali katili sana hii
 
Kama yana faida si fursa hiyo?

Na yeye aache kazi akalime kama anaona kulima ni rahisi na faida ipo

Kilimo jamani ni kufa na kupona
 
Nipe shamba Tena lililopimwa,
Nipe mbegu na Mbolea
Niwezeshe Zana
Niwezeshe PESA ya kulimia
AKHAA!! TALIMA HAYO MA MANANIHII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…