Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Katika kikao cha wadau wa zao la kahawa mkoani Ruvuma ambao umefanyika Leo mjini Songea, Mkuu wa Wilaya ya Ludewa amependekeza itungwe sheria Kali kwa wasiotaka kulima zao hilo kwa hiari, wakamatwe na kufikishwa mahakamani na kufungwa kwa kosa la kukaidi kulima zao la kahawa.
Amesema, "Watanzania wanatakiwa kupelekwa kwa sheria hata kwa mambo ambayo yana faida binafsi kwao, hakuna sababu ya kuwabembeleza wasiojitambua, alimalizia mkuu huyo wa Wilaya.
Amesema, "Watanzania wanatakiwa kupelekwa kwa sheria hata kwa mambo ambayo yana faida binafsi kwao, hakuna sababu ya kuwabembeleza wasiojitambua, alimalizia mkuu huyo wa Wilaya.