Uchaguzi 2020 Mkuu wa Wilaya ya Magu acha kutisha Watumishi wa Umma

Uchaguzi 2020 Mkuu wa Wilaya ya Magu acha kutisha Watumishi wa Umma

Fundi Madirisha

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
184
Reaction score
988
Huyu mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza amekua akikusanya Watumishi wa Umma katika kila tarafa kuzungumza na kuwatisha kwamba yeyote atakayeongelea upinzani au kuupigia kura upinzani. Wakati huo huo anawapigia kampeni wagombea wa CCM.

Hii Taarifa iwafikie tume ya taifa ya uchaguzi NEC imchukulie hatua za kinidhamu DC huyu kwani watumishi wa umma ndani ya Wilaya wamechoshwa sana na kauli zake. Sheria ya uchaguzi haziwarihusu viongozi hawa kujishughulisha na kampeni lakini yeye anavunja kanuni makusudi. Nasi watumishi twasema lolote likitokea yeye atakua wa kwanza kuhusika.
 
Mchomeni moto mbuzi huyo.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hueleweki ulichoandika sijui hata uliajiriwaje wewe utakuwa na cheti feki
 
Hata akiwatisha ndo vizuri mujue Uongozi wa mabavu hautakiwi na kura ni Siri ya mtu Sasa huyo anayetumia mabavu na nyinyi kamuonyesheni mabavu yenu kwenye sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom