TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

Aisee Serikali isipokuwa makini Mange Kimambi na Kigogo watakuwa ndio Shi hata CN N,Tbc,BBC,Mwananchiau yetu...jamaa wamamwaga Taarifa za Korona utafikiri za kweli!
Mfano juzi usiku walileta mazishi ya chapchap usikuisiku ,na watu wanazuiwa kupiga picha😀😀😀...ila nikafkir hio sip Tanzania watu wanawaogopa Kakorona'' Hadi kaburi la aliyekufa na Korona halipgwi pcha!
Kilichonishtua tu ni Lugha ya Kiswahili kichotmika kuimba na kuongea ..kilikuwa n cha Cha Tanzania
Serikali iweke Mambo sawa la sivyo Kimambe na na Kigogo watakumbukwa na wajukuu!
 
Kafariki Mtu Mmoja tu lakini hebu pitia kidogo Kauli za Kiufafanuzi za Viongozi ( Wanasiasa ) Wetu na TBC pia...

Kauli ya Waziri: Marehemu alikuwa na Matatizo ya Moyo na alilazwa Muhimbili ila alikuwa akitibiwa Moyo Ntwara
Kauli ya Mkuu wa Mkoa: Upumuaji tu na Changamoto zake ndizo zimepelekea Umauti hapa Ntwara.
Televisheni ya Taifa Tiiiiiibiiiiiisiiiiiii: Marehemu Kafariki kwa Ugonjwa wa Kisukari huko Ntwara.
Kauli ya Mwenyekiti wa Usalama Mkoa: Ndugu wa Marehemu wamesema tuzike tu huku huku Ntwara alikofia

Kazi kweli kweli!
Duh.. !.
P
 
Mkuu niponipo ngoja niende nikachungulie mashine ilitaka barakoa kwani iliharibika (PC) na simu ikaingia Corona sasa nimepoteza kila kitu nakutafuta Moyafricatz
 
Kafariki Mtu Mmoja tu lakini hebu pitia kidogo Kauli za Kiufafanuzi za Viongozi ( Wanasiasa ) Wetu na TBC pia...

Kauli ya Waziri: Marehemu alikuwa na Matatizo ya Moyo na alilazwa Muhimbili ila alikuwa akitibiwa Moyo Ntwara
Kauli ya Mkuu wa Mkoa: Upumuaji tu na Changamoto zake ndizo zimepelekea Umauti hapa Ntwara.
Televisheni ya Taifa Tiiiiiibiiiiiisiiiiiii: Marehemu Kafariki kwa Ugonjwa wa Kisukari huko Ntwara.
Kauli ya Mwenyekiti wa Usalama Mkoa: Ndugu wa Marehemu wamesema tuzike tu huku huku Ntwara alikofia

Kazi kweli kweli!
Wewe huna kazi ingine ya kufanya yaani kutwa unasikiliza habari za marehemu Wewe mwanga ni nini?
 
Wewe huna kazi ingine ya kufanya yaani kutwa unasikiliza habari za marehemu Wewe mwanga ni nini?

Kwani tatizo ni nini au liko wapi Ndugu? au na Wewe labda umeshaanza kuhisi kuwa unaweza kuwa Marehemu Siku si nyingi?
 
Sio kweli. Credible information ni kuwa amefariki kwa Corona.
And by the way, watu bado wanakusanyika misikitini na makanisani, mbona serikali inaruhusu.
Sio kazi ya serikali kumwambia mtu aende kanisani au msikitini au asiende

Wewe mwenyewe amua utaenda au huendi hayo ni yako binafsi

Acha kusukumia serikali
 
Sio kazi ya serikali kumwambia mtu aende kanisani au msikitini au asiende

Wewe mwenyewe amua utaenda au huendi hayo ni yako binafsi

Acha kusukumia serikali

Unaposema kuwa Serikali isisukumiwe kila Kitu kwani nini Kazi ya Serikali hasa mbele ya Wananchi na kwa Ustawi wao wote?
 
Sio kazi ya serikali kumwambia mtu aende kanisani au msikitini au asiende

Wewe mwenyewe amua utaenda au huendi hayo ni yako binafsi

Acha kusukumia serikali
Serikali ina mamlaka ya kupiga marufuku mikusanyiko yote kuwalinda wananchi na pandemic.
Tukifuata logic yako ya kuku hapa then sio kazi ya serikali kuwapangia watu idadi ya watakaohudhuria msiba, na sio kazi ya serikali kuzika watu!
 
Back
Top Bottom