Duh.. !.Kafariki Mtu Mmoja tu lakini hebu pitia kidogo Kauli za Kiufafanuzi za Viongozi ( Wanasiasa ) Wetu na TBC pia...
Kauli ya Waziri: Marehemu alikuwa na Matatizo ya Moyo na alilazwa Muhimbili ila alikuwa akitibiwa Moyo Ntwara
Kauli ya Mkuu wa Mkoa: Upumuaji tu na Changamoto zake ndizo zimepelekea Umauti hapa Ntwara.
Televisheni ya Taifa Tiiiiiibiiiiiisiiiiiii: Marehemu Kafariki kwa Ugonjwa wa Kisukari huko Ntwara.
Kauli ya Mwenyekiti wa Usalama Mkoa: Ndugu wa Marehemu wamesema tuzike tu huku huku Ntwara alikofia
Kazi kweli kweli!
Wewe huna kazi ingine ya kufanya yaani kutwa unasikiliza habari za marehemu Wewe mwanga ni nini?Kafariki Mtu Mmoja tu lakini hebu pitia kidogo Kauli za Kiufafanuzi za Viongozi ( Wanasiasa ) Wetu na TBC pia...
Kauli ya Waziri: Marehemu alikuwa na Matatizo ya Moyo na alilazwa Muhimbili ila alikuwa akitibiwa Moyo Ntwara
Kauli ya Mkuu wa Mkoa: Upumuaji tu na Changamoto zake ndizo zimepelekea Umauti hapa Ntwara.
Televisheni ya Taifa Tiiiiiibiiiiiisiiiiiii: Marehemu Kafariki kwa Ugonjwa wa Kisukari huko Ntwara.
Kauli ya Mwenyekiti wa Usalama Mkoa: Ndugu wa Marehemu wamesema tuzike tu huku huku Ntwara alikofia
Kazi kweli kweli!
Wewe huna kazi ingine ya kufanya yaani kutwa unasikiliza habari za marehemu Wewe mwanga ni nini?
Sio kazi ya serikali kumwambia mtu aende kanisani au msikitini au asiendeSio kweli. Credible information ni kuwa amefariki kwa Corona.
And by the way, watu bado wanakusanyika misikitini na makanisani, mbona serikali inaruhusu.
Sio kazi ya serikali kumwambia mtu aende kanisani au msikitini au asiende
Wewe mwenyewe amua utaenda au huendi hayo ni yako binafsi
Acha kusukumia serikali
Serikali ina mamlaka ya kupiga marufuku mikusanyiko yote kuwalinda wananchi na pandemic.Sio kazi ya serikali kumwambia mtu aende kanisani au msikitini au asiende
Wewe mwenyewe amua utaenda au huendi hayo ni yako binafsi
Acha kusukumia serikali