KERO Mkuu wa wilaya ya nyang'wale na mkurugenzi wa halmashauli kisaidieni kijiji hiki

KERO Mkuu wa wilaya ya nyang'wale na mkurugenzi wa halmashauli kisaidieni kijiji hiki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
888
Reaction score
822
Nikijiji cha ifugandi kipo kata ya busolwa wilaya nyag'wale mkoa wa Geita

Kijiji hiki kimekuwa kisiwa , barabara ni mbovu kufika wilayani au katani na kupata huduma za hospitali nk.
 
Back
Top Bottom