Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amepiga kura leo Novemba 27, 2024 katika Kituo cha Shule ya Msingi Madaraka ikiwa ni haki yake Kikatiba Kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka ya Mji Mdogo Tukuyu.
Jumla ya Wakazi 147,118 wanatarajia kupiga kura katika Vituo 529 ndani ya Vijiji 99 Kata 29 zilizopo Rungwe.
Jumla ya Wakazi 147,118 wanatarajia kupiga kura katika Vituo 529 ndani ya Vijiji 99 Kata 29 zilizopo Rungwe.