johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara.
Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge alisimama na kuchachamaa na kumwambia DC kama yeye ni kidume basi amkamate muda ule.
Ndipo mwenyekiti wa CCM wilaya akaingilia kati na kuwasuluhishs
Source ITV habari