Mkuu wa Wilaya ya Sengerema ataka kupigana na Katibu wa Mbunge mkutanoni

Mkuu wa Wilaya ya Sengerema ataka kupigana na Katibu wa Mbunge mkutanoni

DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara.

Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge alisimama na kuchachamaa na kumwambia DC kama yeye ni kidume basi amkamate muda ule.

Ndipo mwenyekiti wa CCM wilaya akaingilia kati na kuwasuluhishs

Source ITV habari
Kwanini hakupenda migogoro ya ardhi ijadiliwe au kuna dili kapiga huko?
 
DC kazingua katibu kaona isiwe tabu tutazinguana
 
Back
Top Bottom