johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa..... Katibu wa mbunge kaamua kama mbwai na iwe mbwai!Katibu amejiamini Safi Sana dogo alitaka kumdhalilisha mbele ya umma akakomaa.
Mitano tenaDC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara.
Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge alisimama na kuchachamaa na kumwambia DC kama yeye ni kidume basi amkamate muda ule.
Ndipo mwenyekiti wa CCM wilaya akaingilia kati na kuwasuluhishs
Source ITV habari
CCM kitasambaratika taratibu Kama tambara bovu.DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara.
Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge alisimama na kuchachamaa na kumwambia DC kama yeye ni kidume basi amkamate muda ule.
Ndipo mwenyekiti wa CCM wilaya akaingilia kati na kuwasuluhishs
Source ITV habari
Mbele ya dogo aliufyata .Huyo DC ni mbabe sana.
Acha tu yafarakane yenyewe kwa yenyeweDC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara.
Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge alisimama na kuchachamaa na kumwambia DC kama yeye ni kidume basi amkamate muda ule.
Ndipo mwenyekiti wa CCM wilaya akaingilia kati na kuwasuluhishs
Source ITV habari
Mkuu hiyo inaitwa "KIMEUMANA" huku povu la sumu likipitia midomon!DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara.