LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika aonya viongozi wa Serikali Za Mitaa kutojihusisha na uuzaji wa ardhi

LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika aonya viongozi wa Serikali Za Mitaa kutojihusisha na uuzaji wa ardhi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Onesmo Buswelu amewataka viongozi wa Serikali za vijiji na vitongoji kutojihusisha na uuzaji wa ardhi katika maeneo yao.

Hayo yamejiri katika kikao cha halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi (CCM) katika wilaya hiyo ambapo mbunge wa jimbo la Mpanda vijijini amewaomba viongozi hao kwenda kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji kwani migogoro mingi inasababishwa na viongozi wa serikali za vijiji na vitongoji.

Ilani ya chama cha mapinduzi (CCM) ya 2020-2025 katika halimashauri ya wilaya ya Tanganyika imetekelezwa kwa kiwango cha juu.
 
Back
Top Bottom