mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
na mpa sapoti huyu kaona mengi, wengi wamevamia nguo za ndani na kuzifanya za nje, wengine za wadogo wao ili mradi tu wafoji kuonyesha sehemu zao za mwili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani naomba kuuliza hii inawahusu na waigizaji na wasanii wa bongo fleva au??????Source majira
Katika hari inayoelekea kujitungia sheria kulingana na matwakwa ya pande anayoamini yeye either kwa kushauriwa au kwa matakwa binafsi mkuu wa Wilaya Ya Temeke bi Sofia kaamuru maafisa wa vitongoji na wazee wote kuwatandika viboko wale wote watakao vaa nguo amabazo kaziita "nusu uchi" wakati wowote ili kulinda maadili ya kitanzania hasa kwa vijana.
Wazo langu
Hiyo imeanza Temeke tungojee na watawala wa mikoa mingine
Source majira

Ya kuvaa nusu uchiNaomba uyataje hayo maadili ya Mtanzania ambayo ya wako wazi.
Kweli hata mimi huwa natatizika. Maadili ya mtanzania ni yapi? Kwa mfano kuna mambo ya ufisadi, polisi kuua raia bila hatia, rushwa, CCM na nyimbo zao za ukabila, udini, ukanda na vyeo kwa kujuana au kifamilia, kutorosha wanyama nje, kuwafurusha wananchi kutoka maeneo yao ya asili kisa wanyama watamalaki. Wakubwa kusema uongo. Mtu atokee atuorodheshee maadili ya mtanzania tuyajue. Mimi naona huu ni wimbo usio na kibwagizo kama ule wa kusaka vazi la taifa! alipoondoka Nyerere na baada ya waliomfuatia kuliua azimio la Arusha ndio ukawa mwisho wa hayo maadili ambayo Nyerere alisimamia. Sasa hivi ni utandawazi na uwekezaj maadili yatasimama wapi?!Maadili ya Mtanzania ni yapi? Labda tuanzie hapo kwanza.