mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Sijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake.
Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside, kesi iko mahakamani, anaitia Serikali hasara maana kesi za ukahaba ni kama za uchawi, hazina ushahidi wa moja kwa moja,mwisho wa siku wataachiwa tu.
Akaja kumtia korokoroni mwandishi wa The Guardia aliyepiga picha wanafunzi wanaosomea chini ya mwembe.
Hatujakaa sawa akaishia kuzomewa na machinga wa simu 2000 kwa kutilia shaka uwezo wake.
Huyu atumbuliwe tu hafai