Kuna Mkuu wa wilaya mwenye uwezo mkubwa?Sijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake.
Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside,kesi iko mahakamani ,anaitia serikali hasara maana kesi za ukahaba ni kama za uchawi ,hazina ushahidi wa moja kwa moja,mwisho wa siku wataachiwa tu.
Akaja kumtia korokoroni mwandishi wa The Guardia aliyepiga picha wanafunzi wanaosomea chini ya mwembe.
Hatujakaa sawa akaishia kuzomewa na machinga wa simu 2000 kwa kutilia shaka uwezo wake.
Huyu atumbuliwe tu hafai
Dar es Salaam kama imezidi kuwa na ma DC wenye changamoto za uwezo.Kuna Mkuu wa wilaya mwenye uwezo mkubwa?
Akikujibu uni tagKuna Mkuu wa wilaya mwenye uwezo mkubwa?
Na hili ndio swali la msingi.Kuna Mkuu wa wilaya mwenye uwezo mkubwa?
😂Bomboko alitokea Ukerewe moja kwa moja mpaka Ubungo, thats an overdose, injini ya starlet unafunga katika scania semi trela, angetoka ukerewe akaja ilemela, akatoka akasogea Arusha au Mbeya, au Kibaha.....yaani iwepo programu ya kuwakuza kiutawala na kiuzoefu katika kupambana na mambo. Jiji la Dar linatakiwa liwe for the most experienced D.C, amechujwa kwa kila namna.
Sasa mtu katoka kupambana na wala sangara, hawana hekaheka zozote zile, unamkabidhi kamati ya ulinzi na usalama ambayo hailali, simu muda wote. Ukerewe saa mbili usiku kila mtu yuko ndani. Haina shughuli nyingi za kiuchumi, machangu wa huko ni wa kistaarabu, sio wa kujipanga barabarani.
Yaani Bomboko mtamfanya awe anapiga boko nyingi.....ubungo ni dozi nene kwake.
Ali disco LLB Mzumbe Morogoro campus mwaka 2012 sijui nn kilitokea kwenye ma CCM huko nikamwona anaendelea na chuo.Sijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake.
Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside,kesi iko mahakamani ,anaitia serikali hasara maana kesi za ukahaba ni kama za uchawi ,hazina ushahidi wa moja kwa moja,mwisho wa siku wataachiwa tu.
Akaja kumtia korokoroni mwandishi wa The Guardia aliyepiga picha wanafunzi wanaosomea chini ya mwembe.
Hatujakaa sawa akaishia kuzomewa na machinga wa simu 2000 kwa kutilia shaka uwezo wake.
Huyu atumbuliwe tu hafai
Madrassa saa nane usiku??Yupo, anaitwa Magoti, kavamia msikiti usiku wa manane huko Kiluvya na kufunga madrassa 😃
PUNGUZA WIVU,,Sijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake.
Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside,kesi iko mahakamani ,anaitia serikali hasara maana kesi za ukahaba ni kama za uchawi ,hazina ushahidi wa moja kwa moja,mwisho wa siku wataachiwa tu.
Akaja kumtia korokoroni mwandishi wa The Guardia aliyepiga picha wanafunzi wanaosomea chini ya mwembe.
Hatujakaa sawa akaishia kuzomewa na machinga wa simu 2000 kwa kutilia shaka uwezo wake.
Huyu atumbuliwe tu hafai
Point yako ina mashikoBomboko alitokea Ukerewe moja kwa moja mpaka Ubungo, thats an overdose, injini ya starlet unafunga katika scania semi trela, angetoka ukerewe akaja ilemela, akatoka akasogea Arusha au Mbeya, au Kibaha.....yaani iwepo programu ya kuwakuza kiutawala na kiuzoefu katika kupambana na mambo. Jiji la Dar linatakiwa liwe for the most experienced D.C, amechujwa kwa kila namna.
Sasa mtu katoka kupambana na wala sangara, hawana hekaheka zozote zile, unamkabidhi kamati ya ulinzi na usalama ambayo hailali, simu muda wote. Ukerewe saa mbili usiku kila mtu yuko ndani. Haina shughuli nyingi za kiuchumi, machangu wa huko ni wa kistaarabu, sio wa kujipanga barabarani.
Yaani Bomboko mtamfanya awe anapiga boko nyingi.....ubungo ni dozi nene kwake.
Shida ni upatikanaji wao ndiyo tatizo linapoanziaSijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake.
Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside,kesi iko mahakamani ,anaitia serikali hasara maana kesi za ukahaba ni kama za uchawi ,hazina ushahidi wa moja kwa moja,mwisho wa siku wataachiwa tu.
Akaja kumtia korokoroni mwandishi wa The Guardia aliyepiga picha wanafunzi wanaosomea chini ya mwembe.
Hatujakaa sawa akaishia kuzomewa na machinga wa simu 2000 kwa kutilia shaka uwezo wake.
Huyu atumbuliwe tu hafai
Hawa wakuu wa wilaya wanatakiwa kuwa na elimu na exposure kuhusu siasa, sheria, katiba. Hata kwa kupigwa msasa tu.Sijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake.
Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside,kesi iko mahakamani ,anaitia serikali hasara maana kesi za ukahaba ni kama za uchawi ,hazina ushahidi wa moja kwa moja,mwisho wa siku wataachiwa tu.
Akaja kumtia korokoroni mwandishi wa The Guardia aliyepiga picha wanafunzi wanaosomea chini ya mwembe.
Hatujakaa sawa akaishia kuzomewa na machinga wa simu 2000 kwa kutilia shaka uwezo wake.
Huyu atumbuliwe tu hafai
Oya!🤣🤣🤣🤣mtu ana kibichwa uchizi nyie hamukioni?