Siku zote kumbuka rafiki yako ndio adui yako ... baadhi ya mashosti wenu na ambao wako mstari wa mbele kuchatna kumention watu kibao kwenye thread moja ndio ananitumia mimi message na mbinu za kuwaumbua chit chat..... Kisa yeye hataki wamjue.... Nimewaambia hivyo ili niwaambie tu kama mlifikiri kazi imeisha kumuangamiza swahiba wangu mary hunbag basi mmenoa... na sasa hivi kanitumia message akiwacheka ma leo tu kaanzisha thread... na alikuwapo white party...bado mna safari ndefu.. bado mna nyoka lenye ndimi 7 ... mbaya zaidi linawajua vizuri...teh tehte nilale mie kesho kazini