Sasa utasubiri mkataba uishe ina maana mpaka dirisha dogo au... nunueni wachezaji acheni ubahili"Ni rahisi kwa mchezaji wa Azam kwenda Simba kuliko kuja Yanga, hatuko tayari kulipa kiasi hicho ingawa siwezi kukitaja hapa,
Azam wanataka tuwalipe pesa nyingi kwa ajili ya beki Gadiel Michael kwa mkataba wake uliobaki, tutasubiri hadi mkataba wake uishe" - Charles Boniface Mkwasa
Sasa utasubiri mkataba uishe ina maana mpaka dirisha dogo au... nunueni wachezaji acheni ubahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Baghe!Hivi sheria ya usajili inaruhusu kumsajili mchezaji kabla mkataba kuisha? Yanga walitozwa faini kwa kosa kama hilo kwa Hassan Kesi , sasa hili la Gadiel Michael watapona kweli?
Nadhani Yanga wanatakiwa kujichunga. Hilo la Gadiel ama wawalipe Azam au wapigwe faini na,TFF.
Vv
Mkwasa nakushauri tembezeni bakuli kama kawaida yenu Tajiri kabanwa na bashite hali ni tete
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwasa nakushauri tembezeni bakuli kama kawaida yenu Tajiri kabanwa na bashite hali ni tete
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengne bwqnaYanga wamemsainisha mchezaji akiwa na mkataba. Kushtuka wanaambiwa watoe mpunga wanatoa macho. Walitaka waachiwe bure?