Mkwasa: Azam FC ni Simba SC 'B'

Mkwasa: Azam FC ni Simba SC 'B'

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
"Ni rahisi kwa mchezaji wa Azam kwenda Simba kuliko kuja Yanga, hatuko tayari kulipa kiasi hicho ingawa siwezi kukitaja hapa,

Azam wanataka tuwalipe pesa nyingi kwa ajili ya beki Gadiel Michael kwa mkataba wake uliobaki, tutasubiri hadi mkataba wake uishe" - Charles Boniface Mkwasa
44fd13f820040dbf8892a69dfe4b1b2d.jpg
 
Sasa kama hukitaji tutajuaje kama ni kikubwa au kidogo?

But on a serious note, timu zetu zijifunze taratibu za kuuziana wachezaji. Haipendezi kila siku malumbano tu, na pia sio fair kabisa wachezaji kama Manula, Gadiel na Bocco ambao wamelelewa na Azam toka makinda wanaondoka tu happily kwa klabu zao bila klabu kupata angalau pesa ya maji.

Same to Ramadhani Singano, Ibrahim Ajibu na Abdi Banda au jinsi wachezaji wa Mbao walivyoiacha timu yao solemba isipokuwa wachezaji 1 au 2 ndio kidogo wameipa mbao pesa kidogo. Utaratibu mbovu sana unaofanya timu zishindwe kuwekeza kwa vijana na kuchukua njia za mkato. Kwa halii mpira wetu kupanda itakuwa ni ndoto
 
"Ni rahisi kwa mchezaji wa Azam kwenda Simba kuliko kuja Yanga, hatuko tayari kulipa kiasi hicho ingawa siwezi kukitaja hapa,

Azam wanataka tuwalipe pesa nyingi kwa ajili ya beki Gadiel Michael kwa mkataba wake uliobaki, tutasubiri hadi mkataba wake uishe" - Charles Boniface Mkwasa
44fd13f820040dbf8892a69dfe4b1b2d.jpg
Sasa utasubiri mkataba uishe ina maana mpaka dirisha dogo au... nunueni wachezaji acheni ubahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwasa ulikuwa unaheshimika
Soon utakuwa km jery muro

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Yanga wamemsainisha mchezaji akiwa na mkataba. Kushtuka wanaambiwa watoe mpunga wanatoa macho. Walitaka waachiwe bure?
 
Hivi sheria ya usajili inaruhusu kumsajili mchezaji kabla mkataba kuisha? Yanga walitozwa faini kwa kosa kama hilo kwa Hassan Kesi , sasa hili la Gadiel Michael watapona kweli?

Nadhani Yanga wanatakiwa kujichunga. Hilo la Gadiel ama wawalipe Azam au wapigwe faini na,TFF.

Vv
 
Baghe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom