Mkwasa: Azam FC ni Simba SC 'B'

mkuu kinachokatazwa Ni kufanya kazi (kucheza,mazoezi,matangazo)kabla mkataba kuisha ILA kama Ni mazungumzo na kusaini mkataba unaruhusiwa pale mkataba Wako ukibaki miezi sita
 
Hayatuhusu na wala hatutaki yatuhusu

YANGA DAIMA.
 
Azam ndiyo walewale wanamnyima mchezaji Uhuru wakati aitaki timu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ni mkataba uliopo baina ya azam na mchezaji. Hata Kama hiluitaki timu mkataba unakubana.
Kwanza Yanga wana makosa wamemrubuni mchezaji wa Azam. Azam wakienda FIFA Yanga wanafungiwa na faini juu
 
unalia muda huu hapo kabla hamkupitia hiyo mikataba na kufanya mazungumzo!
 
Azam ijifunze kuwasainisha mikataba mirefu wachezaji wake ili kuwakomesha wahuni wa simba na Yanga

Nyambafu
 
Mi sielewi kitu kimoja. Why mchezaji ana age U25 eti anasajiliwa kwa kandarasi ya miaka miwili tu!

Worse enough. Mchezaji anatumikia mkatabaka wake mpk umabaki miezi 6 timu mmiliki haishtuki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…