hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kinachokatazwa Ni kufanya kazi (kucheza,mazoezi,matangazo)kabla mkataba kuisha ILA kama Ni mazungumzo na kusaini mkataba unaruhusiwa pale mkataba Wako ukibaki miezi sitaHivi sheria ya usajili inaruhusu kumsajili mchezaji kabla mkataba kuisha? Yanga walitozwa faini kwa kosa kama hilo kwa Hassan Kesi , sasa hili la Gadiel Michael watapona kweli?
Nadhani Yanga wanatakiwa kujichunga. Hilo la Gadiel ama wawalipe Azam au wapigwe faini na,TFF.
Vv
Hoja ni mkataba uliopo baina ya azam na mchezaji. Hata Kama hiluitaki timu mkataba unakubana.
Mi sielewi kitu kimoja. Why mchezaji ana age U25 eti anasajiliwa kwa kandarasi ya miaka miwili tu!Sasa kama hukitaji tutajuaje kama ni kikubwa au kidogo?
But on a serious note, timu zetu zijifunze taratibu za kuuziana wachezaji. Haipendezi kila siku malumbano tu, na pia sio fair kabisa wachezaji kama Manula, Gadiel na Bocco ambao wamelelewa na Azam toka makinda wanaondoka tu happily kwa klabu zao bila klabu kupata angalau pesa ya maji.
Same to Ramadhani Singano, Ibrahim Ajibu na Abdi Banda au jinsi wachezaji wa Mbao walivyoiacha timu yao solemba isipokuwa wachezaji 1 au 2 ndio kidogo wameipa mbao pesa kidogo. Utaratibu mbovu sana unaofanya timu zishindwe kuwekeza kwa vijana na kuchukua njia za mkato. Kwa halii mpira wetu kupanda itakuwa ni ndoto
Watoe hela. Waache makelele!Yanga wamemsainisha mchezaji akiwa na mkataba. Kushtuka wanaambiwa watoe mpunga wanatoa macho. Walitaka waachiwe bure?