MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
koki zilifanya nn apo cjakusoma
yap koki za maji,walikua wanafungulia majiKoki tena
Kocha wa Kilimanjaros stars amedai tatizo kubwa la timu yake kupoteza ni hujuma walizofanyiwa na Algeria moja wapo ni kuwepo kwa koki za maji uwanjani (pitch).
Walifanya michezo hii kwenye upande stars na kubadilisha tena koki kufuata upande wa stars kwenye second half.
Nini maoni yako mwana michezo mwenzangu?

Mkwasa ni kocha wa Timu ya Tanzania (Taifa Stars)
Kibadeni ni kocha wa Timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars)
Akubali tu kwamba algeria walituzid na hatuwawez
Sisi kiwango chetu ni ile algeria tuliyocheza nayo dsm sio ile ya ulayaulaya tuliyocheza nayo algeria