Mkwasa umeteleza kaka na usirudia tena wakati mwingine

Kwani nani hajui kwamba Azam ni tawi la simba...kwa miaka yote azam amekua na uhasama mkubwa na yanga kuanzia kwenye udhamini mpaka usajili wa wachezaji...nakumbuka hata ngassa walivyomtoa kafara baada ya kubusu nembo ya Jangwani...Azam wameshindwa kukwepa kivuli cha Usimba na Uyanga ndio mana mission yao ni kama inafeli vile....Big Up Mkwasa..umeongea ukweli na wanojua ukweli hawatakushangaa kwa kauli hiyo...hakuna haja ya kuwa mnafiki...azam wanataka 40m kwa miezi mitano tu ili kumuachia...sa si bora tusubiri tu tumchukue bure kabisa ile kwao mazima...shame upon u Azam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa za hivi punde kupitia kipindi cha soka klabu msemaji wa azam amewashukuru viongozi wa yanga na wameshafikia makubaliano na Gadiel ameruhusiwa kuitumikia yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwasa amekusikia,na leo hii gadiel michael amekuwa mchezaji rasmi wa Yanga Afrika
 
We mwenye Uzi choko kumbe wachezaji wa azam waliosajiliwa simba wametemwa!!!! mkwasa mwenyewe kakiri halafu ww unayeokota data cjui wp unatubeba beba 2
I think Moro c watu wazuri
 
Kama haujui kanuni uulize usaidiwe.... Mchezaji akibakisha miezi sita kwenye mkataba anaruhusiwa kufanya mazungumzo na timu yoyote na atapewa precontract(mkataba wa awali) ... Akimaliza mkataba wake baada ya miezi hiyo anakuwa mchezaji halali wa timu iliyomsajili... Gadiel Michael kabakisha miezi minne ni sahihi kumpa precontract
 
We mwenye Uzi choko kumbe wachezaji wa azam waliosajiliwa simba wametemwa!!!! mkwasa mwenyewe kakiri halafu ww unayeokota data cjui wp unatubeba beba 2
I think Moro c watu wazuri
Shani hapa siyo kutemwa, ni hukumu tofauti kwa kesi aina moja. Isipokuwa John Boko, wachezaji wote wa Azam waliokwenda Simba walikuwa wamebakisha miezi michache kwenye mikataba yao. Na tayari Azam ilikwishatoa hukumu kwamba haitakuwa tayari kumsajili mchezaji yeyote kwa zaidi ya Sh. Milioni kumi. Wote waliosajili Simba na Yanga kutoka Azam maana yake hawakuwa tayari kusajiliwa kwa chini ya hapo. Swala hapa ni 1. Kama Azam imeona milioni kumi ni nyingi kusajili mchezaji wa ndani (kwa angalau miaka miwili iliyozoeleka) kwa nini ione ni sahihi kwa timu nyingine (Yanga) kutoa milioni arobaini kwa mkataba wa miezi sita (iliyobaki kwenye mkataba wa Azam na Michael)? Iweje mnofu ulio haramu kwako uwe halali kwa mwenzako? 2. Je, wachezaji wa Azam waliokwenda Simba nao walitakiwa kuvunja mikataba yao kwa dau kubwa hivyo, au ni Azam kufungua baa huku ikichagua wanywaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…