Matonya Mazengo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 235
- 140
AH AH POLE SAANA HUJUI UNALOLIONGEA, HUYO NI KOCHA NA PIA NI MTALAMU WA MASWALA YA FEDHA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AH AH POLE SAANA HUJUI UNALOLIONGEA, HUYO NI KOCHA NA PIA NI MTALAMU WA MASWALA YA FEDHA.
Kwani nani hajui kwamba Azam ni tawi la simba...kwa miaka yote azam amekua na uhasama mkubwa na yanga kuanzia kwenye udhamini mpaka usajili wa wachezaji...nakumbuka hata ngassa walivyomtoa kafara baada ya kubusu nembo ya Jangwani...Azam wameshindwa kukwepa kivuli cha Usimba na Uyanga ndio mana mission yao ni kama inafeli vile....Big Up Mkwasa..umeongea ukweli na wanojua ukweli hawatakushangaa kwa kauli hiyo...hakuna haja ya kuwa mnafiki...azam wanataka 40m kwa miezi mitano tu ili kumuachia...sa si bora tusubiri tu tumchukue bure kabisa ile kwao mazima...shame upon u AzamLeo Mwasa kaitisha press na kulizungumzia sakata la Mchezaji wa Azam Gadiel Michael na Yanga kuna kauli Mkwasa kasema ni rahisi kwa mchezaji wa Azam kwenda simba kuliko yanga.
1.Mkwasa naomba nikukumbushe ndugu yangu huenda uliteleza umesema takriban wachezaji 4 wametoka Azam na kwenda simba bila shida yeyote ila nataka nikukumbushe Mkwasa wachezaji waliosajiliwa simba kutoka Azam ni makombo "wachezaji waliotemwa kikosini" mfano ni Bocco alitemwa na alikuwa mchezaji huru hivyo ilikuwa ni choice yake aende wapi pia kwa kesi ya Manula na Kapombe ni hivyo hivyo walitemwa.
2.Lakini kwa kesi ya Gadiel Michael ni tofauti Azam wanamhitaji bado sababu ya umri wake mdogo na kiwango na pia yupo ndani ya mkataba.Lakini mchezaji ameonyesha nia ya kuondoka anashindikiza kuondoka sasa hapa mlipaswa mkae meza moja na Azam na mlipe ada ya uhamisho Lakini wewe Mkwasa ulifanya ndivyo sivyo mlimsainisha Gadiel ambaye yupo kwenye mkataba na Azam bila ya waajiri wake kujua yani hapa mngekuwa ulaya basi klabu na mchezaji wote mngepewa adhabu kali sana .juzi nilikuwa namsikiliza Gadiel Michael akihojiwa efm alilalamika sana na kulia lia sana kuwa Azam wanamfanyia mtima nyongo lakini Gadiel unafahamu fika upo ndani ya mkataba kwanini usaini yanga bila ya Azam kujua au bila ya Azam na yanga kuongea ?
Twende ulaya kidogo nadhani sote tumeshuhudia saga ya Neymar aliyekuwa anataka kwenda Psg lakini alikuwa ndani ya mkataba na Barca na siku ya kuripoti kambini aliripoti na kufanya mazoezi na kucheza michezo ya pre season huku akifuatilia uhamisho wake na kusubiria PSG na Barca wakubaliane na walipe ada ya uhamisho 222M ili auvunje mkataba aende PSG baada ya PSG kulipa 222M Neymar alienda kujiunga na kusaini mkataba wake PSG
Lakini ndugu yangu Gadiel kinyemela umeenda kusaini yanga ilhali una mkataba Azam halafu unaanza kulia lia unawekewa mtima Nyonga
Na Mkwasa umeteleza kusema tumemsainisha Gadiel ila tulivyotajiwa bei tumeshindwa
Leo hii klabu ya Morocco imetoa kitita cha 120,000 kumsainisha Msuva aliyekuwa kwenye mkataba yanga na nyie toeni pesa kwa Azam mvunje mkataba ,kesi ya akina Bocco walikuwa wachezaji huru .
Gadiel juzi nilimuonea huruma alivyokuwa analalamika ila kwasasa inabidi uwe mpole na Mkwasa utamsainishaje mchezaji bila ya kufuatilia kwa kina
![]()
Taarifa za hivi punde kupitia kipindi cha soka klabu msemaji wa azam amewashukuru viongozi wa yanga na wameshafikia makubaliano na Gadiel ameruhusiwa kuitumikia yangaKwani nani hajui kwamba Azam ni tawi la simba...kwa miaka yote azam amekua na uhasama mkubwa na yanga kuanzia kwenye udhamini mpaka usajili wa wachezaji...nakumbuka hata ngassa walivyomtoa kafara baada ya kubusu nembo ya Jangwani...Azam wameshindwa kukwepa kivuli cha Usimba na Uyanga ndio mana mission yao ni kama inafeli vile....Big Up Mkwasa..umeongea ukweli na wanojua ukweli hawatakushangaa kwa kauli hiyo...hakuna haja ya kuwa mnafiki...azam wanataka 40m kwa miezi mitano tu ili kumuachia...sa si bora tusubiri tu tumchukue bure kabisa ile kwao mazima...shame upon u Azam
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwenye Uzi choko kumbe wachezaji wa azam waliosajiliwa simba wametemwa!!!! mkwasa mwenyewe kakiri halafu ww unayeokota data cjui wp unatubeba beba 2Leo Mwasa kaitisha press na kulizungumzia sakata la Mchezaji wa Azam Gadiel Michael na Yanga kuna kauli Mkwasa kasema ni rahisi kwa mchezaji wa Azam kwenda simba kuliko yanga.
1.Mkwasa naomba nikukumbushe ndugu yangu huenda uliteleza umesema takriban wachezaji 4 wametoka Azam na kwenda simba bila shida yeyote ila nataka nikukumbushe Mkwasa wachezaji waliosajiliwa simba kutoka Azam ni makombo "wachezaji waliotemwa kikosini" mfano ni Bocco alitemwa na alikuwa mchezaji huru hivyo ilikuwa ni choice yake aende wapi pia kwa kesi ya Manula na Kapombe ni hivyo hivyo walitemwa.
2.Lakini kwa kesi ya Gadiel Michael ni tofauti Azam wanamhitaji bado sababu ya umri wake mdogo na kiwango na pia yupo ndani ya mkataba.Lakini mchezaji ameonyesha nia ya kuondoka anashindikiza kuondoka sasa hapa mlipaswa mkae meza moja na Azam na mlipe ada ya uhamisho Lakini wewe Mkwasa ulifanya ndivyo sivyo mlimsainisha Gadiel ambaye yupo kwenye mkataba na Azam bila ya waajiri wake kujua yani hapa mngekuwa ulaya basi klabu na mchezaji wote mngepewa adhabu kali sana .juzi nilikuwa namsikiliza Gadiel Michael akihojiwa efm alilalamika sana na kulia lia sana kuwa Azam wanamfanyia mtima nyongo lakini Gadiel unafahamu fika upo ndani ya mkataba kwanini usaini yanga bila ya Azam kujua au bila ya Azam na yanga kuongea ?
Twende ulaya kidogo nadhani sote tumeshuhudia saga ya Neymar aliyekuwa anataka kwenda Psg lakini alikuwa ndani ya mkataba na Barca na siku ya kuripoti kambini aliripoti na kufanya mazoezi na kucheza michezo ya pre season huku akifuatilia uhamisho wake na kusubiria PSG na Barca wakubaliane na walipe ada ya uhamisho 222M ili auvunje mkataba aende PSG baada ya PSG kulipa 222M Neymar alienda kujiunga na kusaini mkataba wake PSG
Lakini ndugu yangu Gadiel kinyemela umeenda kusaini yanga ilhali una mkataba Azam halafu unaanza kulia lia unawekewa mtima Nyonga
Na Mkwasa umeteleza kusema tumemsainisha Gadiel ila tulivyotajiwa bei tumeshindwa
Leo hii klabu ya Morocco imetoa kitita cha 120,000 kumsainisha Msuva aliyekuwa kwenye mkataba yanga na nyie toeni pesa kwa Azam mvunje mkataba ,kesi ya akina Bocco walikuwa wachezaji huru .
Gadiel juzi nilimuonea huruma alivyokuwa analalamika ila kwasasa inabidi uwe mpole na Mkwasa utamsainishaje mchezaji bila ya kufuatilia kwa kina
![]()
Kama haujui kanuni uulize usaidiwe.... Mchezaji akibakisha miezi sita kwenye mkataba anaruhusiwa kufanya mazungumzo na timu yoyote na atapewa precontract(mkataba wa awali) ... Akimaliza mkataba wake baada ya miezi hiyo anakuwa mchezaji halali wa timu iliyomsajili... Gadiel Michael kabakisha miezi minne ni sahihi kumpa precontractUsiangalie tu sababu ya Mkwasa anakuhusu, ndiyo uwone issue ndogo, hawa akina mkwasa ndiyo viongozi wetu wa mpira, leo yupo Yanga kesho TFF, leo anachanganya mambo hivi alafu tukapiga mskofi kumshangilia, kesho akiwa TFF hutoweza kumtofautisha na Malinzi.
Mkwasa ni mbumbumbu Hata cjui timu ya taifa alipewa vipi hadi katutia aibu kupigwa wiki na Algeria
Sent using Jamii Forums mobile app
Shani hapa siyo kutemwa, ni hukumu tofauti kwa kesi aina moja. Isipokuwa John Boko, wachezaji wote wa Azam waliokwenda Simba walikuwa wamebakisha miezi michache kwenye mikataba yao. Na tayari Azam ilikwishatoa hukumu kwamba haitakuwa tayari kumsajili mchezaji yeyote kwa zaidi ya Sh. Milioni kumi. Wote waliosajili Simba na Yanga kutoka Azam maana yake hawakuwa tayari kusajiliwa kwa chini ya hapo. Swala hapa ni 1. Kama Azam imeona milioni kumi ni nyingi kusajili mchezaji wa ndani (kwa angalau miaka miwili iliyozoeleka) kwa nini ione ni sahihi kwa timu nyingine (Yanga) kutoa milioni arobaini kwa mkataba wa miezi sita (iliyobaki kwenye mkataba wa Azam na Michael)? Iweje mnofu ulio haramu kwako uwe halali kwa mwenzako? 2. Je, wachezaji wa Azam waliokwenda Simba nao walitakiwa kuvunja mikataba yao kwa dau kubwa hivyo, au ni Azam kufungua baa huku ikichagua wanywaji?We mwenye Uzi choko kumbe wachezaji wa azam waliosajiliwa simba wametemwa!!!! mkwasa mwenyewe kakiri halafu ww unayeokota data cjui wp unatubeba beba 2
I think Moro c watu wazuri