Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,906
Some time unaingia hapa JF unasome post za watu unashindwa kuelewa wakati mwingine mtu anamchukia mtu na anashindwa kufikiri.
Katika umeme ni jinsi gani tunaweza kujua huu tunaotumia unatokana na vyanzo vya maji au Richmond au IPTL? Wote hawa wanasupply kwa TANESCO naye ndo anatusambazia sisi. Sasa tuambie ni jinsi gani tunaweza kuu-isolate mojawapo kati ya hiyo. Unapoamua kugomea kitu, lazima pia uangalie alternative sasa wewe ukitaka tuache kutumia umeme unashauri tutumie nini?Koroboi au mishumaa? Vodacom kuna choice nyingine.
Jamani tubane kwenye point nayo ni kwamba kama Vodacom ni kichwa ngumu basi sisi tukomae nao hadi kieleweke vinginevyo watamke kabisa na tuone kwamba RA kesha temwa tumtafute aliko .