Mkwasi Rostam na Vodacom

Mkwasi Rostam na Vodacom

samahanini wenzangu kwa kuwakatisha stimu, lakini mimi naona hii agenda ni marketing strategy.
kila mtu anajua Rotam alikuwa na caspian kabla na baada ya vodacom, iweje voodacom ishambuliwe wakati caspian ipo?
mbona tunajidai wachambuzi lakini hakuna anaetaka kujua kiini cha Caspian yenyewe?
au kama rostam, au mojawapo ya kampuni tanzu zake anamiliki celtel au kampuni nyingine ya simu?
ina maana ukweli hautafutwi hapa?
siwezi kuamini hii data moja tu hapa ya share distribution ya vodacom ndio imelete mwamko mkubwa hivi wa watu 'kuhamia' celtel.
samahani tena
nahisi tunaendeleza 'hate' policies. Lengo liwe kuwa na nchi ambayo straight and transpatent policy zinafuatwa, sio kufuata upepo.
naomba kuwakilisha.


Haika kwa maneno mengine unataka kusema kwamba mimi Lunyungu nina mambo yangu na kujipatia chochote ama mie sijaelewa ujumbe wako ? Nime m single out huyu RA kwa sababu kila mahali yupo na hata kule Sullivan unaona alivyo pigiwa dege na wakuu wote .Kama ni ushauri wa kampuni gani twende ukiniuliza nasema TTCL ni kampuni ya Serikali na tukienda huko kama walikwua wamelala wataamka .Sikati mawazo yako maana ndiyo uhuru wenyewe .Kusema tunajifanya wachambuzi ni matusi haya .Umeanza chuki na labda umeanza kuumia kwamba Vodacom sasa inaweza kufanyiwa kweli .

My call yo you guys wakatio tuna endelea kujipanga na kufanya kweli naombakuwa wazi nia si RA pekee tutahamia kila mahali .Tuinafikia hatua hii baada ya kuona hata Serikali na CCM hawatuelewi wala kutusikia .Ufisadi upo tunasema na haguswi mtu .

Watanzania hii ndiyo silaha pekee .Hatujali kwamba tumeanza na RA kama una ushahidi wa huduma ambaz zinatula na kutunisha pesa zao ili watumalize weka hapa .

Kwa small share yake ya Vodacom amesababisha sasa wawe target .Ama wamuondoe wampe share yake tujue moja ama tuendelee na mkakati wa kula nao .Lazima pia wapunguze bei zao mwananchi mmoja alisema ni ghali mno .

Huo ndiyo msimamo wangu .
 
Gembe hao ni waongo wananitafutianwapi ? Ofisini kwangu hawakujui ? Kama huko wanaomba mbali si waje hapa JF waniandikie ?
 
haika kwa vile wewe unajua kuhusu caspian na watu waliounga mkono hoja hii hawajui, kwanini usije na data za kutufumbua macho. kutufahamisha kiini cha caspian, na baadae ukatushauri tufanye nini ili kumchukulia hatua fisadi, kama si rostam, fisadi mwengine
 
haika kwa vile wewe unajua kuhusu caspian na watu waliounga mkono hoja hii hawajui, kwanini usije na data za kutufumbua macho. kutufahamisha kiini cha caspian, na baadae ukatushauri tufanye nini ili kumchukulia hatua fisadi, kama si rostam, fisadi mwengine

Chukua tano mkuu zingine nitakupa akisha weka nondo zake hapa .Badala ya maneno we need nondo na way forward .
 
habai nzuri ni kuwa vodacom wameshapoteza mobile tel.share from 51%, na sasa wanaanja anja kwenye 37% muda si mrefu wataanza kuhamisha baadhi ya minara yake.Mungu alishaanza kuwaadhibu hata kabla lunyungu hajaileta hii thread. sasa ni wakati wa kuweka pilipili kwenye kidonda chao

HUU NI MWAKA MBAYA KWA MAFISADI, WAKE ZAO, VIBARAKA WAO(WENGINE TUNAO HAP JF) NA BIASHARA ZAO
 
Mwikimbi be blessed kwa kuleta habari hizi .Jamani mnawapa watu taarifa ama mnaandika tu na kuuchuna huku mnatummia Vodacom wenyewe ? Time act .This one at least halingoji mtu cause it is within our reach .Tubanane nao hawa kama hawezio kumuona RA na kukataa shares zake sisi tutalia nao .
 
Lunyungu,

Mimi ninakoishi hakuna vodacom kwa hiyo umeshapata mfuasi kwenye hili tayari.
 
Masaka kazi haiwezi kuishia hapo kwamba huitumii ndiyo basi .Ingalikuwep ina maan ungaliitumia .Tusaidie kuwaeleza wengine kwambva tunapingana na ufisadi na si Vodacom na kwa kuwa Vodacom wanawakaribisha nasi wajiandae na mapambano.Waambie wenzio , ndugu zako , narafiki zako juu ya ukweli wa hili .Wewe sasa ni Saulo zamani sasa Paulo umesha ujue ukweli wa mambo mengi ikiwemo uwanja wa fisi.

Karibu
 
Kampeni haijashika moto napata nyeti kwamba jamaa wanasema kwamba tangioa tumeanza kampeni bado wanapata 900-12bn a day .Sasa nataka muone.Mnyetishaji anasema wana mizizi mkubwa na woa hawayumbi .Jamani amkeni tuchape kazi .
 
Watanzania tushinikize Rostam akamatwe na Vodacom itaifishwe.
Asante.
 
Kampeni haijashika moto napata nyeti kwamba jamaa wanasema kwamba tangioa tumeanza kampeni bado wanapata 900-12bn a day .Sasa nataka muone.Mnyetishaji anasema wana mizizi mkubwa na woa hawayumbi .Jamani amkeni tuchape kazi .

kampeni inaendelea usihofu mkuu kama kawa.
Wengi mbona wanatupa chip za VODA wanahamia zaidi TIGO na ZANTEL celtel nao wezi tu.
 
jmushi, vodacome itaifishwe kwa sababu gani?
 
lunyungu, kampeni inaweza kuchukua muda kufanya kazi kwa kuwa watu wanaochangia hapa wengi kwa kiasi wapo nje ya nchi. kwa hiyo wanashindwa kusaidia katika kampeni hiyo.

njia hii ya ku boycott shirika la simu si ajabu, china majuzi tu walisusia simu za kampuni ya ufaransa.

tatizo la watanzania wengi kuchukua hatua ni ngumu
 
jmushi, vodacome itaifishwe kwa sababu gani?

Kama kuna connection na pesa za UFISADI basi hiyo tayari ni mali ya wananchi...Hivyo kuigomea ni kama kujiua sisi weyewe...Haitasadia...Hawa watu wanapesa zetu nyingi za bure...Watakaoumia ni wananchi na mapato ya serikali.
 
watanzania tunashindwa kuprove kuwa rostam ni fisadi tutaweza kuhusisha pesa za vodacom na ufisadi sasa?
ingekuwa tunaweza kumshitaki rostam kuwa ni fisadi, nadhani hiyo ya voda ingekuja automatically ila kwa kuwa tumeshindwa ( bcoz serikali haitaki) ndio hatua kama hizo za kugomea zimependekezwa
 
Mkuu Halisi nadhani zina ujumbe tofauti ndiyo maana zina jitegemea japokuwa kuna mahali zinakutana pale pa kuhamishia shares zake nje ambazo mojawapo itakuwa ni Vodacom

Ni wazo tu!! Maana naona kuna "kigugumizi" mahali fulani!!! Lets wait and see
 
Katika yale makampuni yaliyotajwa katika sakata la kuchota EPA wamiliki wao ni nani anafanya biashara na Watanzania? Na hapa nina maana wamiliki wanaojulikana siyo by extension or by proxy.
 
Back
Top Bottom