Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,906
samahanini wenzangu kwa kuwakatisha stimu, lakini mimi naona hii agenda ni marketing strategy.
kila mtu anajua Rotam alikuwa na caspian kabla na baada ya vodacom, iweje voodacom ishambuliwe wakati caspian ipo?
mbona tunajidai wachambuzi lakini hakuna anaetaka kujua kiini cha Caspian yenyewe?
au kama rostam, au mojawapo ya kampuni tanzu zake anamiliki celtel au kampuni nyingine ya simu?
ina maana ukweli hautafutwi hapa?
siwezi kuamini hii data moja tu hapa ya share distribution ya vodacom ndio imelete mwamko mkubwa hivi wa watu 'kuhamia' celtel.
samahani tena
nahisi tunaendeleza 'hate' policies. Lengo liwe kuwa na nchi ambayo straight and transpatent policy zinafuatwa, sio kufuata upepo.
naomba kuwakilisha.
Haika kwa maneno mengine unataka kusema kwamba mimi Lunyungu nina mambo yangu na kujipatia chochote ama mie sijaelewa ujumbe wako ? Nime m single out huyu RA kwa sababu kila mahali yupo na hata kule Sullivan unaona alivyo pigiwa dege na wakuu wote .Kama ni ushauri wa kampuni gani twende ukiniuliza nasema TTCL ni kampuni ya Serikali na tukienda huko kama walikwua wamelala wataamka .Sikati mawazo yako maana ndiyo uhuru wenyewe .Kusema tunajifanya wachambuzi ni matusi haya .Umeanza chuki na labda umeanza kuumia kwamba Vodacom sasa inaweza kufanyiwa kweli .
My call yo you guys wakatio tuna endelea kujipanga na kufanya kweli naombakuwa wazi nia si RA pekee tutahamia kila mahali .Tuinafikia hatua hii baada ya kuona hata Serikali na CCM hawatuelewi wala kutusikia .Ufisadi upo tunasema na haguswi mtu .
Watanzania hii ndiyo silaha pekee .Hatujali kwamba tumeanza na RA kama una ushahidi wa huduma ambaz zinatula na kutunisha pesa zao ili watumalize weka hapa .
Kwa small share yake ya Vodacom amesababisha sasa wawe target .Ama wamuondoe wampe share yake tujue moja ama tuendelee na mkakati wa kula nao .Lazima pia wapunguze bei zao mwananchi mmoja alisema ni ghali mno .
Huo ndiyo msimamo wangu .