Mkwawa dash za lunch tumezianza ni miondoko ya loooong pass

Mkwawa dash za lunch tumezianza ni miondoko ya loooong pass

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Kwa wengi mnajua maana ya neno DESHI.Ikimaanisha kwa Hapa chuo mtu anakua hapati milo mitatu kwa siku.Hali hii Imeonekana kwa mimi kuongea na mama muuza mmoja akasema wateja wengi wanakula usiku.Ila kwa muda wa Boom kwa wale tunaotegemea serikali nikiwamo hali imekua ngumu mana hela ile wengi wa Humanities tunajilipia Ada na hasa walio na uwezo kwao ni wachache ukilinganisha wengi wetu familia choka mbaya.Watu wanapendeza sana na kutabasamu lakini daaashi liko palepale na mtu hadi jiono ndio mlo mmoja unapatikana.Hadi sasa kwa tulio wengi tunaishi kwa nguvu za kuunga unga.Haijalishi umetumia hela vibaya au vizuri suala ni kua Raia wamefulia hadi basi.
 
Usihofu kijana wangu kunauwezekano mpaka jumatano pesa ikawa ishaingia,hivyo DESHI litakoma.
 
[h=5]BOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOMMMMMMMMM BOOOOOOOOOOOOM
Tayari limetoka, Hela ya awamu ya pili tayari imetoka. LEO KAKA BUMIJA[/h]
 
Back
Top Bottom