Mkwawa mambo si shwari

Mkwawa mambo si shwari

Ciphertext

Senior Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
160
Reaction score
33
Wadau kuna tetesi kuwa Mkwawa University mambo si shwari. Kwa mujibu wa chanzo changu inasemekana kuna sababu mbili ambazo hazijathibitishwa kuwa ni Ukosefu wa bumu ama mgogoro kati ya wanachuo na utawala hivyo wanachuo wamepanga kuandamana. Ntarudi na taarifa kamili baadae kidogo.
 
Wadau hii si tetesi tena, maandamano tayari hivi sasa jamaa wako kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Full nyimbo i.e Kama sio nguvu z............
Ntarudu fo more updates.
 
Nani bado anaipenda CCM hasa katika maisha haya?
 
This is also happening right now at Duce,the causative is also the same.tayari waandish kibao wameshafka
 
Bumu ndiyo issue wazee, vijana wameamua kwenda kwa Mkuu wa Mkoa.
 
Back
Top Bottom