Mkwawa university first class in all campuses

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao jamaa wa mlimani waache majigambo hawana lolote,MUCE Ndo tunawab
 
usiangalie chuo jiangalie ww una ngap........mana unaweza ukakuta hupo ktk pass
 
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao jamaa wa mlimani waache majigambo hawana lolote,MUCE Ndo tunawab

washakufungulia mshahara mwalimu?... Onyesha ukomavu wa fikra pigania ya msingi achana na propaganda!!!.. Usishangilie gpa ya mwenzako wewe una ngapi till now!!!??...
 
Mkwawa ni branch ya UD,
 
Wamenifuta kwe payroll,eti kama nataka mshahara niache chuo,namie nipo2year
 
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao jamaa wa mlimani waache majigambo hawana lolote,MUCE Ndo tunawab

Sawa kabisa. Ila kwa sisi waajiri tunaelewa ukimwambia huyo wa 1st class awe wa chuo chochote kile hapa Tz aandike barua ya kuomba ajira ajieleze kwa ufasaha utaona maajabu. Na ndiyo maana usishangae kimya kimya ajira hasa kwenye makampuni makubwa zinachukuliwa na jamaa kutoka nchi fulani jirani.
 
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao jamaa wa mlimani waache majigambo hawana lolote,MUCE Ndo tunawab
hiyo ni ya kwenye karatasi!!!! je kwenye bichwa kuna FIRST CLASS???:A S angry:...
 
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao jamaa wa mlimani waache majigambo hawana lolote,MUCE Ndo tunawab
ila naskia hata upige first class ya aina gani ukisoma ualimu unaenda kufundisha tu sasa unahangaikia first class wakati mwisho wa picha unaenda kushika chaki whats all the hassle for maaaan......?
 
Chaki ndo kilakitu,na utasoma masters
 
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao jamaa wa mlimani waache majigambo hawana lolote,MUCE Ndo tunawab
Na wewe umepata first class? Au unazungumzia za wenzio?
 
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao jamaa wa mlimani waache majigambo hawana lolote,MUCE Ndo tunawab

Chezea Mkwawa nyie!!! Mubitage nalo luulo. Mgendelage uludodi ulukafu luladenyeka. Baridi la Iringa (HILL CITY) inalipa. Hapo ni Ulaya kwenda mbele.
 
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao jamaa wa mlimani waache majigambo hawana lolote,MUCE Ndo tunawab

Hivi MUCE ilishajitenga kutoka UDSM? Mkono wa mtu unaoandika mwandiko mzuri unasifiwa wenyewe au anasifiwa mtu mwenye huo mkono?
 
Raha kwenda mbele,hali ya hewa safi,piga bukusafi,Highland la bata
 
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao jamaa wa mlimani waache majigambo hawana lolote,MUCE Ndo tunawab

Watu wengine bana!! G.P.A ndio nini? Unaijua G.P.A ya Bill gates wewe? Wewe endelea kushabikia tu G.P.A wakati unapoishi hata umeme hakuna, leave alone maji safi na salama.
 
Naona nyuzi nyingi za watu kusifia vyuo,lakini tunaangalia GPA,Matokeo ya mwaka huu,katika college zote,MC,DUCE,Coet,Muce inaongoza kwa GPA Za 1Class 16wakati MC Wana 1class moja,sio siri hao jamaa wa mlimani waache majigambo hawana lolote,MUCE Ndo tunawab

Mwalimu wewe ningebahatika kukufahamu kamwe nisingekubali umfundishe mwanangu.
 
Back
Top Bottom