Mkwe wa Donald Trump awachefua Wamerakani kwa kupendekeza mabadiliko ya katiba kuhusu uchaguzi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Lara Trump, mkwe Donald Trump na Mwenyekiti mwenza wa kamati kuu ya chama cha Republican kitaifa ameanza kwa kuibua mzozo baada ya kupendekeza ni wakati sasa kufuatia ushindi wa Republicans Marekani kuwe na sheria moja ya kitaifa kuhusu uchaguzi tofauti na katiba ya Marekani ilovyoweka kwamba usimamazi wa uchaguzi ni katika ngazi ya majimbo.

Raia mbalimbali wamelaani maoni yake hayo wakisema kuufanya uchaguzi wa Rais suala la serikali kuu "federal" ni mwanzo wa kuharibu uhuru wa kidemokrasia katika nchi hiyo kwa kulimbikiza madaraka makubwa ya uamuzi katika serikali kuu tofauti na ilivyokusudiwa na waanzilishi wa taifa.
 
Huo ni mwanzo tu, mengi yanakuja. Hiyo ni concept mojawapo ya Make America Great Again. USA inapaswa kuwa moja tu kwenye kila kitu. Wamarekani wamemchagua Trump, sasa wampe muda na uhuru wa kutekeleza ahadi zake.
 
Lakini linapokuja suala la mshirika wake Israel hakuna USA Moja!

Btw unadhani maoni aliyoyatoa jamaa ni sahihi!?
 
Lakini linapokuja suala la mshirika wake Israel hakuna USA Moja!

Btw unadhani maoni aliyoyatoa jamaa ni sahihi!?
Mtanzania wa Boko Timiza anapata wapi ujasiri wa kuamua usahihi au la kwenye masuala ya kisiasa yanayowahusu Americans ?
 
Mtanzania wa Boko Timiza anapata wapi ujasiri wa kuamua usahihi au la kwenye masuala ya kisiasa yanayowahusu Americans ?
Wapi nimeamua ni sahihi au sio sahihi wewe kinyamnkera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…