Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Lara Trump, mkwe Donald Trump na Mwenyekiti mwenza wa kamati kuu ya chama cha Republican kitaifa ameanza kwa kuibua mzozo baada ya kupendekeza ni wakati sasa kufuatia ushindi wa Republicans Marekani kuwe na sheria moja ya kitaifa kuhusu uchaguzi tofauti na katiba ya Marekani ilovyoweka kwamba usimamazi wa uchaguzi ni katika ngazi ya majimbo.
Raia mbalimbali wamelaani maoni yake hayo wakisema kuufanya uchaguzi wa Rais suala la serikali kuu "federal" ni mwanzo wa kuharibu uhuru wa kidemokrasia katika nchi hiyo kwa kulimbikiza madaraka makubwa ya uamuzi katika serikali kuu tofauti na ilivyokusudiwa na waanzilishi wa taifa.