Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa naunga mkono hoja, Hasa hiyo sentensi ya mwisho.Nyie hamjui.
Unakuta Uzi una koment mf 4
Koment y a 1 ina ...likes 60
Koment ya 2 ina ...likes 00
Komenti ya 3 ina ...likes 58
Ivi uyo wa koment namba 2, kila akiisoma na hauna likes, siunaishia kujiona Bonge La Kilaza.
Mimi naona, mkwepu jr aendelee kugonga likes tu......
Kwa sababu niyeye afanyae vilaza kama mimi, nasie tujione tuna wafuasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahha mazoea siku izi nafanyia nyumban, kuna vifaa nimevinunua !!
aaahhhh sawa kabisaaa!!Kweli kabisa naunga mkono hoja, Hasa hiyo sentensi ya mwisho.
Ooh basi vizuri, mimi ninaweza kukukatalia wewe kweli?Hahahahahha mazoea siku izi nafanyia nyumban, kuna vifaa nimevinunua !!
All is well...si umekatalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uniletee Ile Rushwa sasa
Nakuletea usijaliNa ilo ndio linalonitafakarisha ,ni kwasababu ya Corona au kitu gan!!Uniletee Ile Rushwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa hatari mzee, km huu uzi mpk ss una comments 249 na hii yng ya 250 lkn ktk hzo 249 nimepitia baadhi kwa kufanya random selection, nmekuta jamaa ka like zootee [emoji3][emoji3]
Hahahah wee sawa tu ,uzuri wako unasema ukweli na unatimiza.[emoji16][emoji16] sijui unaongelea nini babe ila unajua siwezi kukufanyia makusudi kwa jambo lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona hapa[emoji116]Na hapa atakuja muda wake agonge like na kuishia!
Mimi najuaga ni robot, wala siumizagi kichwa!