Nimesoma hii Comment yako nikiwa naogopa.. Nikajua Natajwa hapa...[emoji28]si bora wewe[emoji23] mimi nina mkwepu na msela fulani kila ninachoandika hata kama ni pumba wana like
Me bado mkuu, ila sijajua mwenzangu.Bado hamjapata muvi.?
Itakua ni BubuKuna huyu mwanachama mwenzetu anaitwa Mkwepu Jr huwa sijawahi kumuelewa, yeye yupo kila sehemu na anagonga LIKE TU bila kuchangia mada yoyote ile. Halafu huwa anagonga LIKE muda ambao wengine wameacha kuchangia, kinachoniuma moyo sana ni kwamba huyu mwenzetu hata uzi uwe na kurasa 1000 atagonga LIKE kwenye kila changizo.
Wewe jamaa mkwepu jr you are very very creepy , hilo lipicha lako la kugidevu guligojaa mindevu pamoja na hizi tabia zako unafanya sisi tufikirie kwamba you are kinda twisted. Wewe mwana hebu acha hizi michongo: Juzi nimeona umegonga LIKE kurasa zaidi ya 2000 halafu muda ambao wenzako wameacha kuchangia halafu hukuchangia kitu.
Dude, you're so creepy.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakua ni Bubu
😅hapana usiogope dear mi na wewe twajuanaNimesoma hii Comment yako nikiwa naogopa.. Nikajua Natajwa hapa...[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28]hapana usiogope dear mi na wewe twajuana
hahaha rafiki angu sema tu leo una mood ya kuongea,mbona mimi nakusitiri siku zote
Na amechelewa haswaaa...
Ndo maana alikuwa ananikwepa kumbe alikuwa keshaweka mipango kwako!!
Hakuna kurudi nyuma, lazima akuwowe love troublemaker
Bila shaka hakujibuHiyo niliiona juzi, nikamuuliza Kumbe wewe ni mtu!
Ninachokumbuka ni iyo jezi yao tu ilikua imeshonwa moja kwa moja aina kuchomekewa wala kuchomolewa[emoji2][emoji2]
Samahani mkuu hivi huyo hapo kwenye hiyo avatar yako ni wewe ?? Kama ni wewe basi kuna mtu nakufananisha naye hayo macho na hiyo rangi !!
Sjui na wewe umewaza ivyo Mwanakamat[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha rafiki angu sema tu leo una mood ya kuongea,mbona mimi nakusitiri siku zote
Samahani mkuu hivi huyo hapo kwenye hiyo avatar yako ni wewe ?? Kama ni wewe basi kuna mtu nakufananisha naye hayo macho na hiyo rangi !!
😂sawa ila uache uvivu wa ku comment,jana umecomment mpaka mvua ikanyesha huku
[emoji23]sawa ila uache uvivu wa ku comment,jana umecomment mpaka mvua ikanyesha huku