Eheeee sasa unakuja,Basi pilipili usiyoila isikuwashe.
Nakuja wapi ?Eheeee sasa unakuja,
Hemb tugeuzie hii sentesi kwako?
Hahahahaha, huyu jamaa ashawahi kutoa comment ???Kwenye uzi wa mapenzI analainishwaga mpaka anakoment.
Kwenye uzi wako ya kua kumbe naye kutembeza likes ni Sawa.Nakuja wapi ?
Huna Congruence wala Coherence kwenye hoja zako, na Analogy unazotoa zinavuruga kabisa hoja zako.Kwenye uzi wako ya kua kumbe naye kutembeza likes ni Sawa.
Ndo Mimi ππMimi nampendaga [emoji847][emoji847][emoji847]
ππππππmkuu mbona unapata moto haraka hivi? yaani comments fupi hizi zinakupa tempa?Huna Congruence wala Coherence kwenye hoja zako, na Analogy unazotoa zinavuruga kabisa hoja zako.
Mkwepu Jr anagonga LIKE kwenye comment zangu mimi Kataskopos, ndiyo maana namzungumzia.
Wewe sikufahamu na wala hatuna mazoea sasa nashangaa unavyowashwa na hii pilipili.
Mkwepu haongeagiNdo Mimi [emoji7][emoji6]
Ile ni akaunti yangu ya rejareja tu ndo maana naitumia ku like[emoji12]
Me too my friend i don't know english,
Yani wewe dunderhead unifanye mimi MALCOM LUMUMBA nipate moto ?ππππππmkuu mbona unapata moto haraka hivi? yaani comments fupi hizi zinakupa tempa?
Hahaa sasa wewe sikuachi mpk ugombana na masufuria hapoππ, kdg tuu umejaaa.
ππππππmzee mbona unapata moto haraka hivi? yaani comments fupi hizi zinakupa tempa usha jaa upepo?Huna Congruence wala Coherence kwenye hoja zako, na Analogy unazotoa zinavuruga kabisa hoja zako.
Mkwepu Jr anagonga LIKE kwenye comment zangu mimi Kataskopos, ndiyo maana namzungumzia.
Wewe sikufahamu na wala hatuna mazoea sasa nashangaa unavyowashwa na hii pilipili.
Leo yamenifika shingoni dada wa watuπMkwepu haongeagi
ππππmkuu umefunga swaumu?Yani wewe dunderhead unifanye mimi MALCOM LUMUMBA nipate moto ?
[emoji1][emoji1]utaanza kuitwa mama mkwepu siyo muda(Joke)[emoji23]Eeenh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna siku makapuku nilitaka tu aongee na kweli nilimchokoza akanijibu nilimuwish birthday na wala sijui hata birthday lake lini bwana alinijibu
Nikamwambia mkwepu nilitaka nikusikie tu na kweli umeongea
Leo nakutana na mama yako nitafungaje sasa ?ππππmkuu umefunga?
[emoji1787][emoji1787] Ndio hapoLeo yamenifika shingoni dada wa watu[emoji6]
Hata vitabu vya dini vimeandika ukweli utakuweka huru!
Sasa mimi ni nani nipinge neno la bwana wa mabwana..??