reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Eheeee sasa unakuja,Basi pilipili usiyoila isikuwashe.
Hemb tugeuzie hii sentesi kwako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eheeee sasa unakuja,Basi pilipili usiyoila isikuwashe.
Nakuja wapi ?Eheeee sasa unakuja,
Hemb tugeuzie hii sentesi kwako?
Hahahahaha, huyu jamaa ashawahi kutoa comment ???Kwenye uzi wa mapenzI analainishwaga mpaka anakoment.
Kwenye uzi wako ya kua kumbe naye kutembeza likes ni Sawa.Nakuja wapi ?
Huna Congruence wala Coherence kwenye hoja zako, na Analogy unazotoa zinavuruga kabisa hoja zako.Kwenye uzi wako ya kua kumbe naye kutembeza likes ni Sawa.
Ndo Mimi 😍😉Mimi nampendaga [emoji847][emoji847][emoji847]
😝😝😝😝😝😝mkuu mbona unapata moto haraka hivi? yaani comments fupi hizi zinakupa tempa?Huna Congruence wala Coherence kwenye hoja zako, na Analogy unazotoa zinavuruga kabisa hoja zako.
Mkwepu Jr anagonga LIKE kwenye comment zangu mimi Kataskopos, ndiyo maana namzungumzia.
Wewe sikufahamu na wala hatuna mazoea sasa nashangaa unavyowashwa na hii pilipili.
Mkwepu haongeagiNdo Mimi [emoji7][emoji6]
Ile ni akaunti yangu ya rejareja tu ndo maana naitumia ku like[emoji12]
Me too my friend i don't know english,
Yani wewe dunderhead unifanye mimi MALCOM LUMUMBA nipate moto ?😝😝😝😝😝😝mkuu mbona unapata moto haraka hivi? yaani comments fupi hizi zinakupa tempa?
Hahaa sasa wewe sikuachi mpk ugombana na masufuria hapo😝😝, kdg tuu umejaaa.
😝😝😝😝😝😝mzee mbona unapata moto haraka hivi? yaani comments fupi hizi zinakupa tempa usha jaa upepo?Huna Congruence wala Coherence kwenye hoja zako, na Analogy unazotoa zinavuruga kabisa hoja zako.
Mkwepu Jr anagonga LIKE kwenye comment zangu mimi Kataskopos, ndiyo maana namzungumzia.
Wewe sikufahamu na wala hatuna mazoea sasa nashangaa unavyowashwa na hii pilipili.
Leo yamenifika shingoni dada wa watu😉Mkwepu haongeagi
😝😝😝😝mkuu umefunga swaumu?Yani wewe dunderhead unifanye mimi MALCOM LUMUMBA nipate moto ?
[emoji1][emoji1]utaanza kuitwa mama mkwepu siyo muda(Joke)[emoji23]Eeenh [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna siku makapuku nilitaka tu aongee na kweli nilimchokoza akanijibu nilimuwish birthday na wala sijui hata birthday lake lini bwana alinijibu
Nikamwambia mkwepu nilitaka nikusikie tu na kweli umeongea
Leo nakutana na mama yako nitafungaje sasa ?😝😝😝😝mkuu umefunga?
[emoji1787][emoji1787] Ndio hapoLeo yamenifika shingoni dada wa watu[emoji6]
Hata vitabu vya dini vimeandika ukweli utakuweka huru!
Sasa mimi ni nani nipinge neno la bwana wa mabwana..??