Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kwa muda mfupi....[emoji23][emoji23][emoji23]
Hili suala huwa linaniacha hoi....
si bora wewe😂 mimi nina mkwepu na msela fulani kila ninachoandika hata kama ni pumba wana likeHili suala huwa linaniacha hoi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna mtu anaweza kulike nyuzi za kutwa nzima!
Unasemaje wewe?! Unampenda kama kaka tu, au?!Mimi nampendaga [emoji847][emoji847][emoji847]
Huyo Mpwa wako kaniboa kishenzi... atasemaje "mi nampendaga" huku kalegeza macho na shingo namna hiyo", aaaaaaargh... mabinamu mengine hasara kweli!Iaseee mpwa jamaa yangu huyu anagonga like halafu yuko kimya tu,.....
Hmm!Mimi nampendaga [emoji847][emoji847][emoji847]
Unasemaje wewe?! Unampenda kama kaka tu, au?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nampendaga kama ninavyokupenda wewe binamuHuyo Mpwa wako kaniboa kishenzi... atasemaje "mi nampendaga" huku kalegeza macho na shingo namna hiyo", aaaaaaargh... mabinamu mengine hasara kweli!
Usikute ni Baba Paroko, kwahiyo amejawa na upako wa kutoa, na kwahiyo hakuna awezacho kutoa JF zaidi ya LIKE!Kuna huyu mwanachama mwenzetu anaitwa Mkwepu Jr huwa sijawahi kumuelewa, yeye yupo kila sehemu na anagonga LIKE
Unasemaje wewe?! Unampendaga kama mimi binamu binaaaaaaamu au kama binamu kaka kaka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nampendaga kama ninavyokupenda wewe binamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama binamu kama binamuUnasemaje wewe?! Unampendaga kama mimi binamu binaaaaaaamu au kama binamu kaka kaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah... nikishafuturu itabidi nikutafute unifafanulie vizuri manake najihisi kama nishaanza kuku-mind hivi! Yaani binamu kama binamu, na sio binamu kama kaka... ngoja nipumzike kwanza![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama binamu kama binamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asa uniambie kasoma sa ngapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]