Mkwepu Jr The Creep

Mkwepu Jr The Creep

Nyie hamjui.

Unakuta Uzi una koment mf 4

Koment y a 1 ina ...likes 60


Koment ya 2 ina ...likes 00

Komenti ya 3 ina ...likes 58




Ivi uyo wa koment namba 2, kila akiisoma na hauna likes, siunaishia kujiona Bonge La Kilaza.



Mimi naona, mkwepu jr aendelee kugonga likes tu......

Kwa sababu niyeye afanyae vilaza kama mimi, nasie tujione tuna wafuasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom