Mkwere amekuwa na busara sana tangu matukio ya Oktoba 29 kutokea

Mkwere amekuwa na busara sana tangu matukio ya Oktoba 29 kutokea

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Naona kama amekuwa na kauli nzuri zenye mlengo wa kutetea maslahi ya watumishi.

Hasa viongozi na wakuu wa idara ambao wamevimbiwa madaraka na kuwa wanazuia watumishi kuhama wakati ni haki yao.

Naona tangu filling station za Lake oil tangu zichomwe amekuwa na busara sana.
 
Back
Top Bottom