Mlandege Vs Simba (wengi wasichokiona)

Mlandege Vs Simba (wengi wasichokiona)

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,689
Reaction score
25,848
Katika michuano ya kombe la mapinduzi msimu 2023/24, mechi pekee ambayo timu ya Mlandege ilishinda katika michuano hiyo ni mechi ya fainali na ikachukua kombe.

Wakati upande mwingine, klabu ya Simba mechi pekee iliyofungwa ni ile ya fainali.
 
Tumefungwa lakini Kwa uchawi
IMG_2474.jpg
 
Back
Top Bottom