Mlango wa abiria kwenye ill fated ndege ya Precision uko sehemu gani? Mbele au nyuma?

Mlango wa abiria kwenye ill fated ndege ya Precision uko sehemu gani? Mbele au nyuma?

Tungepata picha za sehemu ya huo mlango uliovunjwa kwa kasia, maana lazima sehemu iliyobondwa ingeonekana, isingeweza kubaki smooth!
heee!!mbona picha zinaonyesha kabisa kuwa mlango haujabondwa ila umefunguliwa kwa ndani?!yeye majaliwa atakuwa aliwasaidia kuwatoa baada ya mlango kuwa umefunguliwa.
 
Tafuta interviews za walionusurika pamoja na ya Majaliwa japo yeye alituambia yeye na wenzie watatu waliugonga mlango kwa kutumia kasia zao hadi ukafunguka lakini walionusurika wanasema mmoja wa wahudumu wa ndege alifungua mlango kwa ndani ndipo wakaja wavuvi (Majaliwa na wenzie Watatu) kuwavuta mmoja mmoja.
Hili tukio halina utofauti na tukio la kwanza la Mandonga Mtu Kazi, aliyeshinda akafichwa chini ya kapeti

Yule mhudumu aliyefungua mlango kwa ndani alizikwa kipuuzi puuzi, huyu aliyechungulia kama kuna abiria kisha kuzimia akaonekana shujaa [emoji26]
 
Thanks, halafu majitu yasiyoweza kuhoji, praise and worship men yanatukuza tu bila kuhoji! Eti majaliwa hawezi kudanganya? kwanini asidanganye na anajua kuwa akisema niliwatoa mimi atasifiwa?
Unakosea kusema yule Kijana alidanganya,
Kwa maelezo yake yuko sahihi ila nilichokiona ni kua wakati wao kwa nje wanahangaika kuuvunja na yule muhudumu ndani alikua anahangaika kufungua, kwa hiyo yawezekana mlango ulivyofunguka wao wa nje walidhani ndio wamefungua kumbe ni yule wa ndani,

Rejea waliposema kua, mlango ulivyofunguka wavuvi wakaanza kuwavuta, hii ina maanisha wavuvi walikuwepo eneo la mlango.
 
Hili tukio halina utofauti na tukio la kwanza la Mandonga Mtu Kazi, aliyeshinda akafichwa chini ya kapeti

Yule mhudumu aliyefungua mlango kwa ndani alizikwa kipuuzi puuzi, huyu aliyechungulia kama kuna abiria kisha kuzimia akaonekana shujaa [emoji26]
Muhudumu hawezi kua Shujaa wakati ile ni kazi yake alipewa training incase of emergency afanye hivyo,
Aliyepata ujasiri wa kusogea kwa haraka punde Ndege ilipo dondoka na kupata wazo la kuwaokoa abiria yule ndie shujaa,

Je wangepata hofu baada ya kuona Ndege imedondoka wakakaa pembeni na kusubiri waje waokozi unadhani hao 24 wangetoka?

Masikitiko yangu ni wale vijana watatu waliokuwepo na Majaliwa hawatajwi hata kidogo.
 
I have boarded a said ill fated Precision plane mara nyingi sana. Including flying in a cockpit with one of a deceased pilots. Buda ile flight mlango wa kuingilia uko nyuma na hainaga business class ni boarding from the rear door.Milango ya dharura iko katikati hivi pande zote mbili.

Na ule mlango wa cockpit uliosemekana kugunguliwa na Maja baada ya mkubwa kuzama sio wa kisport sport kama anavoulezea kuwa sijui kamba ilimpiga baada ya kuufungua.

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Hilo la mlan
heee!!mbona picha zinaonyesha kabisa kuwa mlango haujabondwa ila umefunguliwa kwa ndani?!yeye majaliwa atakuwa aliwasaidia kuwatoa baada ya mlango kuwa umefunguliw
heee!!mbona picha zinaonyesha kabisa kuwa mlango haujabondwa ila umefunguliwa kwa ndani?!yeye majaliwa atakuwa aliwasaidia kuwatoa baada ya mlango kuwa umefunguliwa.
Hilo la mlango kuonekana umebondwa ndio linafanya sasa watu wawe na maswali kama Majaliwa alidanganya kuwa aliuvunja mlango!
Kama mleta uzi alivyouliza iliwezekana vipi nk.
 
20221112_130228.jpg
 
Wewe umetoa maelezo ya kueleweka. Kuna milango 4, mbele 2, nyuma 2. Ya mbele ilikuwa submerged, ya nyuma iko free! Then one can attempt to open the back doors!
Hebu tujaribu kuizoom hii...
Screenshot_20221112-124102.jpg
 
Kama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force?. Akiufungua tu maji yana rush insid, kumbuka kuna obstacles za viti vilivyong'oka na msongamano wa abiria , commotion kila mmoja ana strugle kutoka majaliwa alifanyaje katika imaginary but most likely to happen situation kama hiyo?
Just for Curiosity

Kama mlango uko nyuma, then one can break it open! and give the opportunity for other processes to proceed
Mimi nauliza kuhusu emergency exit
 
Back
Top Bottom