Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Tumezoea milango mingi inafungukia ndani. Sasa nikapita sehemu nikaona mjadala. Wanasema ukifungukia nje hata mtu hawezi kuupiga teke ukafunguka kirahisi. Pia wanasema kuna space inaongezeka ndani.
Naangalia faida za kufungukia ndani sizioni, ila naona tu muonekano unakuwa mzuri. Nini maoni yako?
Naangalia faida za kufungukia ndani sizioni, ila naona tu muonekano unakuwa mzuri. Nini maoni yako?