Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hii imekaa poa.Kwa taasisi za Umma mlango ni bora ufungukie nje,,, ila kwa nyumba ya kuishi,,, ule mlango wa nyuma make sure unafungukia nje
Kiusalama ni Nje kwa ajili ya moto nk ila kwa kuwa saizi kuna emergency window nk ,ufungukie popote hakuna shida.Tumezoea milango mingi inafungukia ndani. Sasa nikapita sehemu nikaona mjadala. Wanasema ukifungukia nje hata mtu hawezi kuupiga teke ukafunguka kirahisi. Pia wanasema kuna space inaongezeka ndani.
Naangalia faida za kufungukia ndani sizioni, ila naona tu muonekano unakuwa mzuri. Nini maoni yako?
Milango kufunguka ndani ni mazoea tu, lakini kiutaalamu na kiusalama mlango unapaswa kufunguka kwa nje, hata kwa nyumba binafsi.Hii imekaa poa.
... na ya vyumbani pia ifungukie kwa nje? Namaansha nje ya hivyo vyumba? Mbona nyumba itakuwa kitu cha ajabu sasa? Yaani corridor imejaa mamilango tu!Milango kufunguka ndani ni mazoea tu, lakini kiutaalamu na kiusalama mlango unapaswa kufunguka kwa nje, hata kwa nyumba binafsi.
Kiusalama waokoaji wanasema nje ndio vizuri
Hapo hakuna gril ni ya mbao tu?Kama kuna mlango mmoja tu basi unapaswa kufungua kwa nje, lkn kama una milango labda kama kwangu iko mitatu, (JIKONI, NYUMA, NA MBELE) huu wa mbele unafunguka kwenda ndani, hiyo mingine kutokana na exposure niliyokuwa nayo basi Inafunguliwa kwenda nje ili kujiokoa wakati wa majanga mbalimbali. ULAYA wanatumia sana hiyo style.
Technically milango yote hutakiwa kufungukia Nje ni basi tuu binadamu ni wabishi sanaTumezoea milango mingi inafungukia ndani. Sasa nikapita sehemu nikaona mjadala. Wanasema ukifungukia nje hata mtu hawezi kuupiga teke ukafunguka kirahisi. Pia wanasema kuna space inaongezeka ndani.
Naangalia faida za kufungukia ndani sizioni, ila naona tu muonekano unakuwa mzuri. Nini maoni yako?