Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Nayalaumu Maadui yangu Mazembe, na Majinga sana sana, hayana akili, kwa nini nimeyashinda tena kirahisi kabisa? Nataka adui mwenye akili nyingi atakaye changamsha akili zangu ili nifike mbali kinyota!!!
Sasa haya yanakuja na uchawi wa kijinga, wa kishamba kabisa, ili nife, sasa angalia yamekufa yenyewe mpaka sasa sina adui tena!!
Jingine linakuja kunisema kwa kunilaani jamani!! Eti Oooh! ''utabaki ivoivo'' wakati hii ndo rahisi kabisaa!!
Nikarudisha kwake yaleyale Maneno km alivo ni laani Nikamjibu ''wewe ndiyo utakufa ivoivo na ukoo wako na familia yako mimi nitapasua anga tena siyo na Bombardia bali na Trans world, Swiss, Lufzansa Air Line!!'' maviwanda na mifwedha kedekede!! utanisikia tu. amepotea sijui yuko wapi!