Mlela na Ebitoke mnatuchezea mchezo

Mlela na Ebitoke mnatuchezea mchezo

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Niliangalia clip ya Ebitoke akivamia press conference ya Mlela nimewaona hawa ndugu zetu hili suala wamelipanga makusudi ili wapate kiki.

Hivi hawa bongo movies kwanini wasitumie nguvu zao kuhakikisha wanarudisha soko la movie kwa kuwa wabunifu kuliko kupoteza muda kwa ajili ya kiki ambayo haiwasaidii.
 
Aisee ila kiki yakupigana ni upuuzi maana yule bi dada ana madonda ya kucha tayari
 
Daah sijaipenda hii dharau ya kudharirisha Journalists!!yaani wanatumiwa kwenye Kiki?mamaee
 
Back
Top Bottom