The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Ukifuatilia Kwa Makini tunakoelekea na Kelele hizi.
Naona mchezaji wa Simba anazalilishwa kutokana na rangi yake .
Siongelei kishabiki lakini fuatilieni na ninyi muone.
TFF Toeni neno tunakoelekea siko, kwa nini ni mzungu tu na lugha za kukebei.
Kwani hakuna wachezaji wengine wa Simba wanacheza hovyo.
Bora wangetaja hata Jina lake kuliko kusema mzungu. Ni Sawa na samatta anavyochezavulaya afu Waseme mlete mweusi.