The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Naungana na wewe kusema ni ubaguzi maana na Mimi Nilikuwa wa Kwanza kuanzisha mada kama hii wiki moja iliyopita.Unless huekewi nini maana ya ubaguzi.
Mzungu=whiteman
Mweusi=Black.
Hata kama ni utani umevuka mipaka.
Kuna game ulaya ilivunjika kisa Tu mtu kaitwa this black guy. Akina demba ba walikiwasha
Watumie Jina lake badala ya kuita mzungu
Sasa mbona huo utambulisho wa huyo mchezaji ulifanywa na msemaji wa timu! Hawa wengine si wamemuiga yeye! Au!!!Ukifuatilia Kwa Makini tunakoelekea na Kelele hizi.
Naona mchezaji wa Simba anazalilishwa kutokana na rangi yake...
Wabaguni saana hao mbwa huku ni wabaguzi Kinoma acheni kuwaheshimu Wabagueni muwezavyo mtakavyo huku wanatubagua Kinoma weusiUkifuatilia Kwa Makini tunakoelekea na Kelele hizi.
Naona mchezaji wa Simba anazalilishwa kutokana na rangi yake .
Siongelei kishabiki lakini fuatilieni na ninyi muone.
TFF Toeni neno tunakoelekea siko, Kwa nini ni mzungu Tu na lugha za kukebei. Kwani Hakuna wachezaji wengine wa Simba wanacheza hovyo.
Bora wangetaja hata Jina lake kuliko kusema mzungu. Ni Sawa na samatta anavyochezavulaya afu Waseme mlete mweusi.