Mlevi, mzee wa kupiga hesabu baada ya matumizi

Hakuna kitu kinatuumiza wanaume kama tarehe 27 umelipwa vizuuuri mshahara wotena plan zinawaka vimuli muli kwamba kila kitu iko mstarini
Unajiambia nitapita kona bar ninywe bia tatu tu nikalale ukifika bar ukiona safari/pilsner ni kama zinakujua personal 😂 😂 😂 unaweza ona zinakuchekea zikisema masiah amekuja kile kiwango chako ulichojiwekea kinakuwa makosa
Asubuhi umeamka unajua kabisa jana nililipwa vizuuuuuri ni nimeibiwa yani ni homa kali
 
Umeongea point tupu, ukiwa na laki tano mfukoni uwezi sema eti Nakunywa za elfu 50 ni uwongo mtupu, vibe likianza tutaondokaga tukianza bishana na wahudumu tulipe, mfuko ukiwa na shlingi zero.
 
asikwambie mtu hiyo ndio starehe ya dunia aka mpango sio matumizi.shida niliyonayo mimi nikilewa nakuwa na roho bariidi kabisa naweza kugawa ofa ovyo hadi ela ikaisha kesho yake nianze kujutia majuto mjukuu
Hii kama yangu mkuu hii yangu juzi eid nmejikuta nina deni nusu nilie
 
Nimecheka sana pale kwenye kipande cha micharuko ya mjini inakuita club " mtata mtata"

[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapa sasa wanaume masikio hutusimama na kuvimba kichwa huwa tunajiona kama tunapendwa sanaa kabla hujaombwa watakunywa, watakula, nauli na hela ya supu asubuhi watapata [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa sasa wanaume masikio hutusimama na kuvimba kichwa huwa tunajiona kama tunapendwa sanaa kabla hujaombwa watakunywa, watakula, nauli na hela ya supu asubuhi watapata [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ok. Hauna kisa chako cha hesabu baada ya matumizi?
Huon nipo hapa...yaan mleta uzi na mimi ni mapacha kasoro jinsia[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Amelenga mle mle, ni majuto tu mkuu baada ya matumizi...mi mpaka roho huwa inanidunda (presha) asubuhi baada ya kujua ushenzi niliofanya jana ake[emoji16][emoji28]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mwanangu mmoja yeye anaweza kuwa hata na milion mfukoni na hatumii ata shing mia na anawaka kinoma ila kwenye kutuna ndio anaitoa na kuirudisha utasikia mimi ela ninayo wewe
Jamaa sijui anawezaje
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenichekesha mkuu nimesoma mwanzo mwisho uko vizuri kwa simulizi, nadhani dawa usiende na pesa nyingi , piga ua chukua 50k tu, bia mbili tatu rudi home🤫 is it possible?
Wee unasema tu. Yote hayo mtu anapanga, wee si unasikia watu mwisho wa siku wanashika simu wanaingia mobile banking😀😀.
Kama hutumii kilevi usijaribu.
 
HAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAAH hapo ndo utajua kwanini watu wana kunywa pombe za 1500 hadi buku mbili sio kwamba wana penda hapana ila matukiooo ya asubuhiii
 
Pombe pombe nshakunywa Sana.... Natimba zangu chako ni chako pub baa ya wapenda fujo af mzee mzima naagiza Smirnoff black ice...
Kumbuka nna hesabu ya siku nzima hapo ila siwazi Wala nn kwanza nna hasira nimesoma Sana af ajira zimenisaliti acha nigonge vyuma ....

Sminoff Kama ya tatu hivi happy nshawaka pisi Kali ya pembeni imeleta shobo nikaona sio kesi hell si tunafata kwa ajili yao bana.... Duuh alikua anapiga ngeti lite ila kuona mnyamwezi navimba na blak ice akajua mi mshua sijui naona kaagiza heinkein ili twende sawa


Ahhh machale yakancheza nikajua hapa nikilemaa ntaenda kukopa mafuta ya kupigia kazi sheli....

Napanga mbinu za kumkataa bidada ye ndo kwanza Yuko bize anantambulisha kwa mipaka mingine pale kaunta eti shemeji yenu huyu jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…