Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂
Hapana, sio utumwa, na kama ni utumwa basi utakua ni utumwa wa hiyari. Na hutokana na kutofanya kwa malengo.Kuajiriwa ni utumwa
Walevi kwa kujipa moyo....!🤣🤣🤣pombe bana.
Bia moja tofali mbili, ila sasa muulize asiyekunywa ana tofali/nyumba ngapi?
Kwa bajeti hii ni weekend out of town....mafuta,hotel,misosi weekend inakuwa saaafi.nilishamalizaga 450000 samaki samaki maana baada ya kulewa nilijikuta sio mnyonge kwa washikaji
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]asikwambie mtu hiyo ndio starehe ya dunia aka mpango sio matumizi.shida niliyonayo mimi nikilewa nakuwa na roho bariidi kabisa naweza kugawa ofa ovyo hadi ela ikaisha kesho yake nianze kujutia majuto mjukuu
Na kadi ya Benki usitembee nayo aiseeHii kanuni inatusaidia wengi. Haisee nilijifunza usiende na hela nyingi(kutegemeana na kipato chako) bar unaweza kujuta sana.
Ndio yale mtu kapokea mshahara leo. Kesho kaamka na buku😀
Na hiyo elfu 8 unaweza kupita tena kunywa bia mbili akili ikae sawa.Na kadi ya Benki usitembee nayo aisee
Mie nakumbuka Kuna Kabar kalikuwepo hapo mafuta House/B. Mkapa?? Kanaitwa Savanna dah kalikua kananipukutisha sana hela ishu za kujifanya nasubiria kafoleni kapungue napiga bia hata za ef30 matokeo yake nadandia lifti naenda ATM za CRDB pale chini navuta mpunga hata lak2 halafu najifanya mjanja siangalii salio ili nisiumie napanda juu naizibua na pisi Kali kuja kushtuka saa8 usiku hakuna cha foleni wala nini asubuh naamka na vichenji chenji tu[emoji23][emoji23]. Tena kama alivyosema mwamba kila mfuko una buku,buku2 kubwa buku dala mweku mweku zote zimeisha. Unavikunjulua unavinyoosha vinoti vyako kinyonge unakuta una buku 8 ukiwa nyingi sana labda 14 masikitiko weeee
Halafu next time tena unarudia dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah balaa yani unakua uko depressed kinoma unasema ngoja nikamate hapa tu ntoe mawazo na sirudii tena ndo ya mwisho hiiNa hiyo elfu 8 unaweza kupita tena kunywa bia mbili akili ikae sawa.
Pombe na shetan aisee, hizi pombe hizi, zilichonifanyia last week nikiwa na pesa ya kodi ya nyumba, acha tu mpaka sasa nimeshapiga sana simu ya kuomba kupewa muda zaidi ili hali nilikuwa na kodi kamili mkononi.Nimekuelewa sana mkuu me sio mnywaji sana na sina maisha kiivyo ni juzi tu nilikuwa na elfu 90 mfukoni nikasema nipitie mahali nijipigie mbili tatu bajeti ya juu nikajisemea hata nikitumia elfu 20 ni safi kwa sababu me nikigonga safari zangu 5 nakuwa niko poa sana
lakini kilichotokea niliondoka pale saa11 alfajiri na malaya na asubuhi nikijikuta na nikiwa na elfu12 tu nikajuta kama siku tatu hivi ndiyo nikakubali matokeo
Hii ilinitokea 2017 Dec - 2018 March pale Galaxy club Arusha aisee Kilimanjaro za baridi zilikuwa zinamiminika Kama maji bill ikifika 20 au 30 nalipa kwasimu hii ilichangia kija kujua baada ya kufulia ndan ya mwaka mmoja nilitumia via za Tsh 10 MILLIONS nimeandika kwa msisitizo.[emoji28][emoji28] mkuu kuna kulipia kwa M/tigo pesa hii nayo haijawai kutuacha salama
Haya mambo yakiwa hayajakukuta unaweza kusema ni utani, kuna rafiki yangu aliwahi kuchukua mkopo bank zaidi ya 20m akalipa madeni kama 10m tena yaliyosababishwa na starehe na iliyobaki yote aliikata ndani ya mwezi mmoja.Hii ilinitokea 2017 Dec - 2018 March pale Galaxy club Arusha aisee Kilimanjaro za baridi zilikuwa zinamiminika Kama maji bill ikifika 20 au 30 nalipa kwasimu hii ilichangia kija kujua baada ya kufulia ndan ya mwaka mmoja nilitumia via za Tsh 10 MILLIONS nimeandika kwa msisitizo.
Ukiona Kuna bar ipo karibu na huduma za kifedha hapo usikae ndugu Kama hukuwai kufikiria basi nishukuru kwa kukupa wazo hilo
Awapi, kuacha pombe siyo rahis hivyo kama kujifunza gari ya Auto. Mkuu kuchomoka ni vigumu sanaNdugu mwandishi,
Asante sana kwa kunitonesha kidonga kibichi kabisa japo naamini ni kwa lengo zuri.
Siku ya NNE Leo nmelala ndani siamini matumizi nilofanya kati ya ijumaa na jumamosi.
NIMEACHA POMBE RASMI.
Kila mnywaji anatamani Sana kuacha ila anaanzaje hapo ndo inshu.Haya mambo yakiwa hayajakukuta unaweza kusema ni utani, kuna rafiki yangu aliwahi kuchukua mkopo bank zaidi ya 20m akalipa madeni kama 10m tena yaliyosababishwa na starehe na iliyobaki yote aliikata ndani ya mwezi mmoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah balaa yani unakua uko depressed kinoma unasema ngoja nikamate hapa tu ntoe mawazo na sirudii tena ndo ya mwisho hii
Unaotea kamchongo shimo likitema tu unarudi kule kule yani aliyegundua pombe fundi. Unakua unaishi kwenye kadunia kako yani ambako hakunaga Pros and Cons we ni live the moment tu
kishujaa ama?(kwakifupi nilikula mzigo tena).